Ikulu yadaiwa kuhusika kutoroshwa kwa twiga

Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi toleo la jana jumapili,inadaiwa kuwa baadhi ya maafisa wa ikulu wanahusika katika
sakata la kutorosha twiga wanne na nyara nyingine za serikali hapo mwishoni mwa mwaka jana.Inasemekana haiwezekani
ndege kubwa tena ya kijeshi iingie nchini kinyemela bila ikulu kufahamu.Pia ilitegemewa idara nyeti za serikali kama usalama
wa Taifa na wizara ya mambo ya nchi za nje ingeweza kutolea ufafanuzi juu ya sakata la ndege ya jeshi la QATAR kuingia nchini na kutorosha mali ya taifa.KWELI TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI.sijui wadau mnasemaje kwenye hili.

Hayo hawayaoni wanaona mapungufu ya wengine!!! wao wanajiona safiiiii
 
Kutokana na utafiti wa
shirika lisilo la kiserikali la Rural
Future Vision (RFVi),
linalofanya kazi nyanda za juu
kusini Tanzani...a..., "the
intercept of mathematical
extrapolation of forex earning
has predicted" kwamba uchumi
wa Tanzania utashuka kwa
2.3% ifikapo mwaka 2025.
Sababu iliotolewa ni kwa kundi
la vijana kutopendelea tena kazi
za uzalishaji mali, hasa kilimo.
Vijana wengi wamekuwa
interested katika kufanya kazi
rahisirahisi zisizoliingizia Taifa
fedha za kigeni, na kwamba
wimbi kubwa la nguvu kazi hiyo
ya vijana wanahamia mijini bila
hata kuwa na shughuli maalum.
Na kwamba kazi zinazowavutia
sana vijana ni kama vile uchuuzi
wa pipi, sigara, vocha za simu,
pia kucheza dansi, kuendesha
pikipiki, to mention just a few,
shughuli ambazo haziliingizii
taifa hili fedha za kigeni.
 
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi toleo la jana jumapili,inadaiwa kuwa baadhi ya maafisa wa ikulu wanahusika katika
sakata la kutorosha twiga wanne na nyara nyingine za serikali hapo mwishoni mwa mwaka jana.Inasemekana haiwezekani
ndege kubwa tena ya kijeshi iingie nchini kinyemela bila ikulu kufahamu.Pia ilitegemewa idara nyeti za serikali kama usalama
wa Taifa na wizara ya mambo ya nchi za nje ingeweza kutolea ufafanuzi juu ya sakata la ndege ya jeshi la QATAR kuingia nchini na kutorosha mali ya taifa.KWELI TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI.sijui wadau mnasemaje kwenye hili.

sssssssssshhhh.................William Malecela atakusikia wewe!.
 
haaa!!!! wangebidi kuwekewa masharti magumuya sana ya dhamana ili wasote kwanza
jela inasikitisha watz wa kawaida wakiingia huko misituni hata kuwinda swala
wanatwangwa risasi !!!!!!!! af hawa wamembeba twiga mzimaa wanaachiwa
waendelee kudunda mitaani!why? na ajabu sasa kesi inaweza kupotezewa hivihivi loool inji
yetu inatia kinyaa haswa kile chama cha mag...:evil:

!
 
Kasi mpya, Ari mpya, Nguvu mpya. Kaaaazi kwelikweli
 
Wamegawa madini yetu yote sasa wamuamua kugawa na wanyama wetu. Hivi hatuwezi kuwarudisha hawa twiga?
 
Back
Top Bottom