IKULU yaagiza uchunguzi watendaji wizarani, taasisi

Hapo kuna haja gani ya kufanya uchunguzi wakati ripoti ya CAG ilishamaliza wanataka kutafuna hela yetu ya kodi tu yamenenepeana yameisha kuwa Kama kiti moto bado yanatukamua tu 2015-2012=3 mtakoma
hawa watu wana matatizo; hadi Ikulu iagize?
hii inaonyesha kuwa hizi taasisi pamoja na kutumia gharama kubwa sana kuziendesha bado hazina tija yoyote hasa kwa Mtanzania wa kawaida kama mimi.

Basi kama imethibitisha hivi, kuna haja gana ya kuoneana aibu kwa kuamua kuzifuta!? nakumbuka wakati wa ku-revise utendaji wa serikali miaka ya mwishoni mwa 1980 na mwanzoni mwa 1990, wafanyakazi wa umma waliokuwa 'hawana tija' walipunguzwa na ilionekana sawa.

Nafuikiri kufanya 'outsourcing' ya shughuli zinazofanywa na hizi taasisi inaweza kuwa na tija zaidi ya ilivyo sasa pale wanaposubiri maagizo ya Ikulu.

 
Mimi nilifikiri Chombo huru kimeundwa kuichunguza TAKUKURU kwanza!!!!Kwa mantiki hii,hii ni funika kombe mwanaharamu apite!!!
 
Back
Top Bottom