Ikulu ya Tanzania ni mahali patakatifu sana kiasi kwamba Don Nalimison hastahili kuingiemo maana wanaishimo watakatifu

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
IKULU YA TANZANIA NI MAHALI PATAKATIFU SANA KIASI KWAMBA Don NALIMISON HASITAHILI KUINGIEMO.

DON NALIMISON sijawahi kuingia Wala kukanyaga miguu yangu IKULU ya Tanzania na Nina aapa kwa Mamlaka ya Mungu ambaye ni Malaika Mkuu sitakuja kukanyaga kamweee katika Maisha yangu, tena mpaka kufa kwangu. Mimi naishi kwa kufuata KATIBA na SHERIA nasio VITISHO.@Don Nalimison.
FB_IMG_1595740792916.jpg
 
Mkuu hivi anaeishi kwa sasa alishawahi kufikiri siku moja angekua hapo!? usijikatie tamaa ipo siku nawe utaishi hapo achilia mbali kukanyaga, patakatifu ni juhudi zako tu!
 
Una akili timamu???

Ikulu kuna wafanyakazi wa kawaida kabisa wanaishi mle, mwanao, ndugu yako anaweza akawa anaishi ikulu ukatakiwa kwenda kumsalimia

Msipende kujiapiza kwa kitu ambacho haukijui,.ni aibu, ujinga, uzandiki..
Halafu mpaka maulana ni kama anakuuliza "why?"

Kama uko frustrated na maisha wajumbe wamekutibua, kaa kimya
 
Mkuu hizo mo mo ndo lugha ya uko kwenu au?

Na kwann unajiapiza? je ukipata mwaliko au kuitwa ikulu utakataa?
 
IKULU YA TANZANIA NI MAHALI PATAKATIFU SANA KIASI KWAMBA Don NALIMISON HASITAHILI KUINGIEMO.

DON NALIMISON sijawahi kuingia Wala kukanyaga miguu yangu IKULU ya Tanzania na Nina aapa kwa Mamlaka ya Mungu ambaye ni Malaika Mkuu sitakuja kukanyaga kamweee katika Maisha yangu, tena mpaka kufa kwangu. Mimi naishi kwa kufuata KATIBA na SHERIA nasio VITISHO.@Don Nalimison.
View attachment 1517096
Jamani mtoa maada yupo sawa kichwani kweli🙉🙊🙈!?
Naomba apewe mshahara wake asap vinginevyo zitamruka kikwelikweli atii!
 
IKULU YA TANZANIA NI MAHALI PATAKATIFU SANA KIASI KWAMBA Don NALIMISON HASITAHILI KUINGIEMO.

DON NALIMISON sijawahi kuingia Wala kukanyaga miguu yangu IKULU ya Tanzania na Nina aapa kwa Mamlaka ya Mungu ambaye ni Malaika Mkuu sitakuja kukanyaga kamweee katika Maisha yangu, tena mpaka kufa kwangu. Mimi naishi kwa kufuata KATIBA na SHERIA nasio VITISHO.@Don Nalimison.
View attachment 1517096
Del hujapona bado
 
Leo ngoja nigoogle huyu don nalimison ni nani...
 
Una akili timamu???

Ikulu kuna wafanyakazi wa kawaida kabisa wanaishi mle, mwanao, ndugu yako anaweza akawa anaishi ikulu ukatakiwa kwenda kumsalimia

Msipende kujiapiza kwa kitu ambacho haukijui,.ni aibu, ujinga, uzandiki..
Halafu mpaka maulana ni kama anakuuliza "why?"

Kama uko frustrated na maisha wajumbe wamekutibua, kaa kimya
Acha kupoteza nguvu zako huyu akili zake anazijua mwenyewe.
 
Back
Top Bottom