Ikulu ya Moshi yaibiwa-Tanzania Daima 22/06/08..page 3

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,696
781
Kuna habari kwenye magazeti leo kwamba samani za ikulu ndogo ya Moshi zimeibiwa!!! Ikulu hii ilikuwa kwenye hatua za ukarabati...

Kwangu mimi sina haja ya kuzungumzia wizi huo... naachia vyombo vya usalama viseme kwa nini ikulu iibiwe...hali ya kuwa ina-ulinzi...

Hoja yangu kubwa ni hii ifuatayo...

Kwa kuwa mawasiliano na miundo mbinu imeimarika tofauti na ilivyokuwa miaka hiyo ambapo kulibuniwa rais awe na ikulu kila wilaya...

Kwa nini sasa kusipunguzwe ikulu za Rais... kwa mfano... Moshi na Arusha... iwepo moja, badala ya mbili za mikoa na/au huenda 10 za wilaya?

Mfano kama Morogoro mjini ipo... hakuna haja kuwa nayo... rais atalala Dodoma... au Dar es Salaam in case atakuwa maeneo hayo...

Habari kamili
 

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,885
1,001
[
QUOTE=kakindomaster;226572]Hivi kuna mwizi wa kuiba hadi IKulu au ni wajanja wamejichukulia?
[/QUOTE]
Kakindo ni hawa hawa tu wameamisha(hawakuiba). Hivi kuna mtu wa kuingia ikuru na kuiba kweli? kama hilo limewezekana basi tumekwisha!:(
 

Pundit

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
3,737
113
Tatizo hizi ikulu zikiwa zinakaa bila occupancy it is a recipe for disaster, hivi kuna watu wanakaa hapo karibu au ni extravagance tu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom