ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,070
Muwe mnakubaliana na maoni ya watu walio wengi,
Chadema mnaona raha sana kuzungumzia habari zenye kuwapa faraja tu lakini hakuna kitakachoendelea.
Mmekua watu wa kujifariji kwa yale yasiyowezekana,
Wananchi wamechagua kwanini msiwaamini walio wengi?
13.4% zinawatosha maana ndo waliokuchagueni,
Uchaguzi haurudiwi mpaka 2025, sasa hivi tufurahishe genge hata nyie mnaelewa hilo.
Kwa sera za Chadema wengi walijua matokeo yatakua magumu lakini kwa kua mnaamini vingine hamkuelewa kabisa, jukwaani tulizungumza mapema mkatujibu "ni yeye" nasi twasema ni yeye.