Ikulu ya JMT Kupata Katoto Mwaka Huu

IshaLubuva

JF-Expert Member
Dec 4, 2008
250
11
Kuna mwelekeo wa Festi Ledi (FL) wa Bongo kutuletea Kachanga mwaka huu. Kumekuwa na minong'ono mitaani kwamba mwonekano wa FL unaonyesha kuwa mjamzito.
 
inawezekana, kwani rais kiutaratibu haruhusiwi kumpa mkewe mimba, kwani kuna siri kuwa rais anashiriki ndoa na mkewe, labda kama angetenda kama ZUMA, kuzini na mademu wengine huko mitaani wakati anandoa za mitaala.
 
mtoto ataitwa Lowassa heshima ya urafiki wao , maana hawakukutana njiani, na hii bila shaka itadumisha undugu wao.
kama atazaliwa mtoto wa kike aitwe Sophia, kwa heshima ya Sophia Simba ambapo hii itamkumbusha JK uwepo wa waziri Mwenye tabia za hovyo barazani mwake milele.
 
KAma ni kweli au la HAYATUHUSU
Ukisma "hayatuhusu" unamaanisha wewe na nani?

Mke wa Blair (Wakati akiwa Waziri Mkuu) alipojifungua ahari zake zilifika hadi kwenye masoko ya hisa na mitaji ya Uingereza kwa hiyo inawezekanasana habari/hali kama hii kukuhusu/kukuathiri kwa namna moja ama nyingine wakati mwingine bila wewe kufahamu
 
......watu wa ajabu aisee, hii issue inatuhusu sana kama walipa kodi, labda kama hulipi kodi.....! mtoto atakaye zaliwa directly au indirectly atabenefit kodi za wabongo, mtoto huyo kuna uwezekano akaja ingia NEC, then akapewa u-JK baadaye......so we habari za ujio wake zinatuhusu sana!
 
Nitaomba kazi ya UYAYA kwa huyo mtoto najua mshahara wake utakuwa mzuri tu na marupurupu kibao kama visafari vya hapa na pale wazazi wakisafiri.
 
......watu wa ajabu aisee, hii issue inatuhusu sana kama walipa kodi, labda kama hulipi kodi.....! mtoto atakaye zaliwa directly au indirectly atabenefit kodi za wabongo, mtoto huyo kuna uwezekano akaja ingia NEC, then akapewa u-JK baadaye......so we habari za ujio wake zinatuhusu sana!

hahaaa mpwa auko ki- PAYE zaidi just like me!!!!!!!!!!!!! inahuuu hii habari kwa kweli!!!
 
hahaaa mpwa auko ki- PAYE zaidi just like me!!!!!!!!!!!!! inahuuu hii habari kwa kweli!!!

.......cousin watu wanaangalia juu juu tuuuuuu.....twaangalia cash implication, political implication! ona kina Ridhiwan, ona kina January, ona kina Hussen Mwinyi, ona kina Karume, ona kina Malima etc etc etc......acha tu......!

...ukiangalia ka-payslip kako na likodi linavyokatwa unatamani kulia aisee
 
Karibu mtoto,uanachama wa watoto chipukizi chama tawala umekusubiria,ukitaka uongozi utapata.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom