IshaLubuva
JF-Expert Member
- Dec 4, 2008
- 250
- 11
Kuna mwelekeo wa Festi Ledi (FL) wa Bongo kutuletea Kachanga mwaka huu. Kumekuwa na minong'ono mitaani kwamba mwonekano wa FL unaonyesha kuwa mjamzito.
Mnh jamani mpaka huko................
Ukisma "hayatuhusu" unamaanisha wewe na nani?KAma ni kweli au la HAYATUHUSU
......watu wa ajabu aisee, hii issue inatuhusu sana kama walipa kodi, labda kama hulipi kodi.....! mtoto atakaye zaliwa directly au indirectly atabenefit kodi za wabongo, mtoto huyo kuna uwezekano akaja ingia NEC, then akapewa u-JK baadaye......so we habari za ujio wake zinatuhusu sana!
hahaaa mpwa auko ki- PAYE zaidi just like me!!!!!!!!!!!!! inahuuu hii habari kwa kweli!!!