Ikulu: Wiki-leaks ni waongo...waongo...waongo!

President Elect

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
693
212
Hawa jamaa ni waongo sana, mjihadhari nao! Habari zao hazina ukweli hata chembe!

Source: Salva Rweyemamu - Ikulu 'mawasiliano'

Wamarekani na mataifa ya magharibi hadi leo hawajawahi kusema kama salva,kuwa wikileaks ni waongo,,,,,,,,ila huwa wanalaani tabia ya mtandao huu,lakin kwa salva anahaki ya kusema hivi maana amekuwa mkanushaji!sasa namshaur anyamaze
Hawa jamaa ni waongo sana, mjihadhari nao! Habari zao hazina ukweli hata chembe!

Source: Salva Rweyemamu - Ikulu 'mawasiliano'

Kununuliwa sarawili na kijambakoti ni aibu!!
mwanaume mzima.........uwe rais au rais ni AIBU!!!

waongo kwa lipi? Inaonekana hata yeye hajui wikileaks inafanyaje kazi. Wao wanatoa taarifa, hawaandiki.

Nani ni waongo sasa? maana Wikileaks sio ambao wanaandika hizo habari, Wikileaks wana kamata hizo repoti zilizo 'leak' kupitia embassy mbali mbali duniani. Labda Salva Rweyemamu atuambie kwamba, ripoti za balozi ya marekani nchini zimejaa uzushi na uongo mtupu! Poor Salva!

Muongo siku zote hujihami kwa kuwaita wengine waongo ili kuficha uongo wake. Hapa muongo ni Salva ndiyo maana anajihami.

hivi na mwingine akisema ikulu ni waongo, waongo waongo habari zao na matendo yao hayana ukweli hata chembe atakua amekosea??

vituko vingine aisee, yaani salva andhani wikileaks wanaandika wao zile habari, hajui kwamba zimetoka US missions na kwa hiyo kama ni uongo basi watakua ni watu wa ubalozi ndio wamepiga kamba

aisee

Ni kweli jamaa hawa ni waongo sana kama wewe. Twapaswa kuwaogopa kama tunavyokuogopa. Salva si ungejirudia kwenu migombani ukamalizia muda wako uliosalia badala ya kuendelea kujivua nguo kwa kujibu ukweli kwa uongo na majibu ya kitoto. Kazi kweli kweli nchi inapoendeshwa kwa auto pilot.

hivi na mwingine akisema ikulu ni waongo, waongo waongo habari zao na matendo yao hayana ukweli hata chembe atakua amekosea??

vituko vingine aisee, yaani salva andhani wikileaks wanaandika wao zile habari, hajui kwamba zimetoka US missions na kwa hiyo kama ni uongo basi watakua ni watu wa ubalozi ndio wamepiga kamba

aisee
Mkuu, hawa akina Salva na wenzake hawajui hilo!! wanafikiri Assange ndo kandika hiyo habari!!

Anayewaona Wikileaks kuwa ni waongo haelewi lolote kuhusu mtandao huo. Kama kuna uwongo Katika taarifa zao wanaopaswa kuwa held responsible ni watumishi wa balozi za marekani ambao ndiyo sources za info hizo!

Rais na salva woote wanajua kua wiki leaks si waongo ila wanahisi watanzania hawajui kuwa wiki ni wakweli,,,,,,hasa wasiojua kinachoendelea kwenye ulimwengu wa habari
Anayewaona Wikileaks kuwa ni waongo haelewi lolote kuhusu mtandao huo. Kama kuna uwongo Katika taarifa zao wanaopaswa kuwa held responsible ni watumishi wa balozi za marekani ambao ndiyo sources za info hizo!

Hao jamaa wa Ikulu naona wanawadhania watanzania ni mazuzu na mazezeta!!!!!!!!!!!!!! They got it all wrong, kwanza ofisi yao ndiyo haiaminiki na wananchi will alyways suspect matendo yao regardless yametolewa na source gani!

Wafungue kesi basi kama wanaona wamesingiziwa, mmarekani mwenyewe amenyamaza maana jamaa wana documents mtaambia nini? Hawajaropoka tu.

Similar Discussions

Back
Top Bottom