President Elect
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 693
- 212
Hawa jamaa ni waongo sana, mjihadhari nao! Habari zao hazina ukweli hata chembe!
Source: Salva Rweyemamu - Ikulu 'mawasiliano'
Source: Salva Rweyemamu - Ikulu 'mawasiliano'

Hawa jamaa ni waongo sana, mjihadhari nao! Habari zao hazina ukweli hata chembe!

Source: Salva Rweyemamu - Ikulu 'mawasiliano'
Kununuliwa sarawili na kijambakoti ni aibu!!

mwanaume mzima.........uwe rais au rais ni AIBU!!!
Mkuu, hawa akina Salva na wenzake hawajui hilo!! wanafikiri Assange ndo kandika hiyo habari!!hivi na mwingine akisema ikulu ni waongo, waongo waongo habari zao na matendo yao hayana ukweli hata chembe atakua amekosea??
vituko vingine aisee, yaani salva andhani wikileaks wanaandika wao zile habari, hajui kwamba zimetoka US missions na kwa hiyo kama ni uongo basi watakua ni watu wa ubalozi ndio wamepiga kamba
aisee

Anayewaona Wikileaks kuwa ni waongo haelewi lolote kuhusu mtandao huo. Kama kuna uwongo Katika taarifa zao wanaopaswa kuwa held responsible ni watumishi wa balozi za marekani ambao ndiyo sources za info hizo!
kwa hiyo ukweli uko wapi?Hawa jamaa ni waongo sana, mjihadhari nao! Habari zao hazina ukweli hata chembe!
Source: Salva Rweyemamu - Ikulu 'mawasiliano'

kwa hiyo ukweli uko wapi?