IKULU wanapotumia lugha za kihuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IKULU wanapotumia lugha za kihuni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Game Theory, Apr 5, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  watoto wanaitwa VITOTO

  sasa sijui huyu hapa ni Premi au Salva??

  H@ki Ngowi


  inamaana huko Ikulu hakuna anyejua Kiswahili au uhuni umewajaa hawa watu wa Mawasiliano?
   
 2. kinja

  kinja Senior Member

  #2
  Apr 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Lugha za kihuni hutumiwa na wahuni
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ikulu ya miaka hii imejaa genge la wahuni sasa unategemea watajitenga na mambo ya kihuni??
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Hicho sio Kiswahili ni Kisharobaro
   
Loading...