petromtema
Member
- Aug 30, 2014
- 19
- 7
Umeibuka utata mkubwa juu ya hukumu ya kesi namba no 347 ya 2013 m/s Marine and Farm Product ltd Plaintiff vs DED Kinondoni, Commissiner for Land nk. Kesi hiyo ilitolewa hukumu na Jaji S.S. Mwangesi wa mahakama kuu ya Ardhi 15/12/2016,
Akisimulia historia ya kesi hii na mgogoro mzima Mkurugenzi wa Kampuni ya Marine and Farm Product Ltd ambaye ni mjane baada ya mumewe waliyekuwa wakimiliki wote kampuni hiyo kufariki Bibi Habiba Mtema anasema, yeye na mumewe walinunua kiwanja hicho mwaka 1984 ambapo walifuata sheria zote ikiwemo kukipimisha na kupata hati ya awali (aproved savey), na kuanza kulipa kodi ya ardhi tangu mwaka huo mpaka mwaka huu 2016, anazidi kusema, mwaka 2006 wakati amewasilisha maombi ya hati ya umiliki wa adhi hiyo aliambiwa kiwanja hicho ni mali ya ikulu, anasema aliamua kwenye ikulu kwa katibu mkuu kiongozi Martin Lumbanga ambapo aliambiwa kuwa sio kweli ikulu haimiliki kiwanja hicho, anasema aliendelia kutafuta ukweli zaidi, alipoingia Philimon Luhanjo kuwa katibu mkuu Kiongozi mama huyu aliamua kwenda tena Ikulu lakini alipata jibu lilelile kwamba kiwanja hicho sio mali ya ikulu..
Anasema mwaka 2013 kiwanja chake kilichokuwa na uzio na majengo ya ofisi ya kampuni yao kilivamiwa na kuvunjwa ndipo alipoamua kufungua kesi hiyo… Anasema alikwenda kuomba msaada kwa Mch Christopher Mtikila ambapo wakati mchungaji huyo akiwa kwenye hatua nzuri za kumsaidia alikufa kwa ajali ya gari… anaomba msaada kwa Rais wa Tanzania John Magufuli amsaidie kurejesha kiwanja chake ambacho yeye na mumewe walikinunua kwa kufua sheria zote za nchi na wamekimiliki kwa miaka zaidi ya thelanini….