Ikulu sasa ni BMW kwa kwenda mbele | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ikulu sasa ni BMW kwa kwenda mbele

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fidel80, Nov 24, 2008.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  *YAACHANA NA MERCEDES BENZI


  Na Ramadhan Semtawa
  Source: Mwananchi


  My take
  Haya sasa ooh serikali haina pesa ooh nchi yetu maskini.
  Mambo hayo magari haya tayari yamesha igharimu serikali si chini ya Bilioni 1.
  Bado msafara wa Pinda,Shein,KArume na wengineo.
   
 2. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Nawashangaa waandishi wetu wa habari kwa kuchelewa kuripoti habari hii. Mboan msafara wa JK umekuwa ukitumia BMW kwa zaidi ya miezi mitatu sasa!
   
 3. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Hatuna fedha (serikali) za kuwakopesha wanafunzi 100% vyuo vikuu!! Tulizo nazo ni za kuhakikisha tu usalama wa viongozi hivyo kununua BMW customized/special order bulletproof.

  Ama kwa hakika usalama wa kiongozi is a function of what he does, what he decide, what he defend, what he is, how his image is perceived, how he makes decision, how he talks or make speech, how he keep close to the people. If all is well kiongozi can walk even in the mid night on foot in Manzese suburbs, 1200 noon at Kariakoo, or going to mosque/church at 0500am on foot at Magomeni. I do not mean the president must risk but security should not cost us too much over the interest of the citizens. Mbona viongozi wetu wa vijiji hawahofu security? BUT Yes we are unique and we LOVE our president and our country too! Outside the box we need to have very well organised team to set priorities and prioritize when it comes to matters of high financial coughs.

  CREDIT to our hon. President kwa kukubali kwa kutokubaliana na uamuzi huo wa usalama kununua BMW wakati duniani Mercedes inakubalika na tunazo za kutosha. Haya watueleze hizo walizo nazo Benz watazipeleka wapi au ndio minada ya kishikaji kimya kimya? Hata mimi ningependa kununua Benz walizoendeshwa marais wangu Dar es Salaam. Tena bado zitakuwa mma kabisa kwani hazijavuka Dar es Salaam. Barabara ni mkeka kama Nyu Yoku vile. Cha kubadilisha ni matairi tu.

  Mungu ibariki Tanzania!
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Aarrrggghhh...
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Naona baadhi ya wadanganyika tayari wameshadanganyika tayari..Eti wanampongeza rais kwa 'kupinga' kununuliwa hizi BMW!! Sasa Mh. rais amekataa zisinunuliwe, mbona zipo barabarani? Kupinga huku kupinga gani wajameni?

  Kweli wadanganyika hatustahili kuonewa huruma..
   
 6. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Lazima kuna cha juu hapo. Watu wamekaa chini, wametafuta pa kutokea, wakaamua kubadilisha magari ya msafara wa Rais.
   
 7. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  May be, just may be 'cause kama EPA, Richmond, etc happened, this one is no exemption!
   
 8. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,186
  Likes Received: 679
  Trophy Points: 280
  Misalocation of resources. Tukiwauliza wahusika tunajibiwa "Wadanganyika mlitaka Mr Presidaa apande pikipiki?"
   
 9. W

  WembeMkali JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2008
  Joined: Jun 16, 2007
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani hujui kuwa tuna mfalme na siyo raisi???? mfalme lazima awe na maBMW,mabenzi,ndege ya gharama mno!!! na pia lazima aitalii dunia nzima ili ajitambulishe!!.na pia anahitaji helikopta ya kuzungukia mjini ili asichoke sana!
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Nov 24, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Sasa hamtaki kukubali kuwa nchi yenu ni maskini? Waziri Mkuu kasema sisi ni "maskini sana" halafu mnakataa; mnataka Rais atumie usafiri gani kuendana na hadhi yake kama Amiri Jeshi Mkuu, na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi. Hawezi kusafiria Corolla!
   
 11. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Nimesikitika kusoma kwenye magazeti kwamba Rais amesema sera ya mikopo haiwezi kubadilisha na kuwakopesha wanafunzi kwa asilimia 100. Halafu upungufu uliopo, kwa mujibu wa Prof Lipumba ni Shs 23 bilioni tu.

  Hivi mnakumbuka kwamba serikali ilitoa Shs 20 bilioni kumsadia mwekezaji wa wa Shirika la reli kulipa mishahara ya wafanyakazi? Je mnakumbuka kwamba serikali itoa pia Shs 20 bilioni kulipa fidia ya wakazi wa Tabata waliobomolewa nyumba zao kwa makosa ya kizembe ya maafisa wa jiji? Wanashindwa nini kurekebisha bajeti na kuongeza hizo bilioni 23 kwa mwaka?

  Leo hii, serikali inachezea sekta nyeti ya elimu kwa kufunga vyuo vikuu vyake saba, wahadhiri na wafanyakazi wengine wa vyuo hivyo bado wanaendelea kulipwa mishahara kama kawaida, na gharama zingine ziko pale pale (fixed costs). Siku wakipiga mahesabu watakuja kugundua wamepata hasara kubwa inayokaribiana na pesa hizo ambazo wangeweza kuongezea!
   
 12. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #12
  Nov 24, 2008
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Mwanakijiji,

  That's nice of you.

  Namheshimu sana rais wa nchi, napenda sana awe salama wakati wote. Tena nipo tayari kujitolea kumwokoa pindi atapokuwa katika hataari.

  Lakini mkuu kumbuka kuwa tupo ulimwengu wa tatu.
  Adui yetu ni nani?

  Masaki, observation yako mkuu iko sahihi. Ni vipaumbele vya taifa letu havieleweki tu.
   
 13. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mimi nina wasi wasi na uamuzi huu wa ghafla kwamba wananunua gari hizo kwa ajili ya usalama wa Mh. Raisi.
  1. Rais wetu hayuko hatarini kiasi cha kununua gari aina nyingine.
  2. Kama Mh Rais alikataa kwanini walazimishe?
  3. Wana agenda gani?
  4. Tafakari
  5. Chukua hatua
   
  Last edited: Nov 24, 2008
 14. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2008
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Hmmm BMW gani ya $ 500,000 alafu hiyo gari ya milango sita alimaanisha stretched limo? lol
   
 15. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #15
  Nov 24, 2008
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Mkuu Icadon,

  Kwenye masuala haya nakukubali sana tu. Hebu tupe ushauri, ni gari gani la gharama nafuu linaweza kumfaa rais wetu? Be frank, kama hawajakosea tusiwabebeshe mzigo wa lawama bure
   
 16. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2008
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Inategemea na aina ya BMW anayoitumia na security features zake
  kama ni 760Li bei yake ni $ 124,000 bila vikorombwezo vya usalama....kuhusu X5 nadhani tulizungumzia kwenye ile thread.
   
 17. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #17
  Nov 24, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Tuishi kwa matumaini tu, pengine Tanzania ipo siku itapata Rais aliye "humble" na mwenye akili kama yule wa Iran!!
   
 18. Z

  Zanaki JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2008
  Joined: Sep 1, 2006
  Messages: 544
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamani,hapa JK tusimuonee.Haya magari wamepewa buree toka uarabuni.Tena hawa waarabu walileta mpaka mtaalamu wa haya magari toka Ujerumani kuja kuyafanyia service kabla hayaanza kutumiwa.Hata lile benzi alilotumia Mkapa wakati anamaliza muda wake nalo lilikuwa la chee toka hukohuko.
   
 19. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #19
  Nov 24, 2008
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  acha kutudanganya bana, waarabu gani hao wanaoingia hadi kwenye usalama wa Rais? wewe umejuaje? isitoshe misaada huwa inatangazwa.
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Nov 24, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ukiona mtu anakupa msaada mkubwa kama wa magari ya mamilioni ujue hapo kuna kupeana fadhira in return sasa kama ni kweli waarabu wametoa hayo magari kuna kitu nasi tunawanufaisha hakuna urafiki usio kuwa na manufaa lazima mmoja aumie mwingine anufaike huu ndo urafiki wote mkitaka kunufaika basi mifalakano huanza.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...