Ikulu:Rais wangu ameshindwa kukaa kwenye kiti, je ukija na mgomo wa walimu hotuba yake ataitoaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ikulu:Rais wangu ameshindwa kukaa kwenye kiti, je ukija na mgomo wa walimu hotuba yake ataitoaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Same ORG, Jul 1, 2012.

 1. S

  Same ORG JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matokeo ya rais wetu kuchanganyikiwa yameshaonekana, ni hili la madaktari tu je hili la walimu nalo lipo ukingoni itakuaje?
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  aaah bana rais ameamua kuonyesha kuwa yeye ni mkakamavu
   
 3. S

  Same ORG JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inamaana anaonesha kuwa yeye sio dhaifu?
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaa JK bwana yaani udhaifu mwanzo kati mwisho utadhani sio rais ...hahaa uliambiwa nchi haitatawalika ukabisha mpaka ufike 2015 jasho limekutoka
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Kwa kuchanganyikiwa huku, hotuba ijayo hitatolewa akiwa msitu wa pande!
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ndo mana yake hiyo, kaona amjibu mnyika kwa vitendo, teh teh teh rais wangu bwana anabwebwe kweli kweli
   
 7. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Nimepita tu!
   
 8. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Muna majungu ninyi si kuna wakati mlimsema kuwa abadilishe style yake ya kukaa kwenye kiti asimame kama Obama..........kudos to Mr President this time kafuata ushauri...........teh
   
 9. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mnh!.....Kazi anayo!!!
   
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Walimu wengine wameishia darasa la saba wasijifananishe na madaktari
   
 11. S

  Shelisheli Senior Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  you're very right angel, rais wako anabwebwe kweli kweli!
   
Loading...