chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,490
- 2,574
Kuna mengi tu ya huyo alietumbuliwa nlikua huko pia.Nimefika utete yalipo makao makuu ya wilaya ya rufiji ..kwanza ofc za mkuu wa wilaya ni za kizamani na zimechoka kwelikweli , barabara zote za wilaya ni mbovu hatari ..gari ya mkurugenzi wa wilaya choka mbaya hivyo hvyo na mkuu wa wilaya pia..Rufiji iko hovyo hovyo kbsaa ..ukiingia kuanzia mwaseni kuja ndundunyimikanza hadi ngorongo uje mpk mkongo ni shida tupu ..yaani kiukweli ni wilaya masikini mnooo mnoo ...mkuu was wilaya Juma Njwayo ni mmakonde wa Tandaimba alinisumbua sana sana wkt nafanya shughuri za kichama kwenye hiyo wilaya acha apumzishwe tu japo sio vzr kufurahia matatizo ya mwenzio ...