Ikulu: Rais Magufuli ashuhudia Utiaji Saini kati ya Serikali na BHART Airtel. Airtel kutoa bilioni 1 kila mwezi kwa miaka 5 kusaidia huduma za jamii

tuliambiwa kuwa airtel ni kampuni inayomilikiwa na serikali kwa asilimia mia moja, leo unakuja kufurahia kushuka kwa hisa hadi asilimia 49
Uliambiwa na nani?
Mnaona wivu tu hakuna lolote. Muda mwingine mtumie akili, mlishindwa kuhoji huko nyuma mmeona Rais wa wanyonge amekuja kurudisha mali za Watanzania, ndo unakuja kuuliza viswali vya kitoto?
 
ile kampeni ya jiwe ya kutaka kupora hisa za airtel kwa kudai hisa zote ni za serikali ya CCM iliishia wapi ?
Barrick waliombwa bilioni 700 za kuboresha uaminifu wa kibiashara ambazo ziliota mbawa..
hawa nao wamepigwa mzinga tayari !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliambiwa na nani?
Mnaona wivu tu hakuna lolote. Muda mwingine mtumie akili, mlishindwa kuhoji huko nyuma mmeona Rais wa wanyonge amekuja kurudisha mali za Watanzania, ndo unakuja kuuliza viswali vya kitoto?
Wewe ndio unapaswa kutumia akili zako badala ya kushikiwa akili na kichaa, yaani share imeshuka kutoka 100% hadi 49% bado unashangilia! Unapaswa kupimwa akili zako kama ziko sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una lia wewe lia. Watu wanafanya vitu vya kishujaa kupambania maslahi ya umma. Wewe unaleta udwanzi hapa. 100% ulizileta wewe? Umelewa mchana huu wewe si bure

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo nyie vi.laza, kazi yenu kupiga makofi tu, Huyu kichaa aliwah kusema kwamba serikali inamilika airtel 100% unachokataa nini punguani wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom