Emmanuel J. Buyamba
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,167
- 651
Hawezi kupewa.Polepole anaenda kulamba ukatibu mkuu.
Rodrick Mpogoro anapanda hapo.
Hawezi kupewa.Polepole anaenda kulamba ukatibu mkuu.
Imesema awe mchumi au mwanasheria, tunafuata utamaduni wa Uingereza!..hata Gavana wa BOT aliyeteuliwa na Jpm ni mwanasheria, wakati sheria inaelekeza Gavana wa BOT anapaswa kuwa mtaalamu wa uchumi ama fedha.
Nimeuliza swali gani ambalo jibu lake ninalo tayari? Unaweza kunionyesha nilipoliuliza?Sasa mbona unauliza swali ambalo jibu lake unalo tayari?
We naye sometime akili zako hazina tofauti na Bashite&Jiwe.El Chapo ni muuza madawa ya kulevya.
El Chapo si Mtanzania. Ni raia wa Mexico.
El Chapo yupo gerezani Marekani. Ni mfungwa.
El Chapo hana sifa za kuwa katibu mkuu kiongozi wa serikali iliyopo madarakani Tanzania.
Stick to the facts.
Hizi stori za vijiweni mpaka lini? Bashiru hana hulka za kijinga au tamaa za fisi au kumzunguka yeyote he calls a spade a spade ni hilo tu and nothing in between - Dk. Magifuli knows mission critical fellas waliochini yake like back of his hand - msifikiri kumteua Dk. B.Kakurwa kwenye wadhifa wa katibu mkuu kiongozi amebahatisha - far from it, team ingekamilika vizuri kama Mzalendo Makonda angepewa nafasi aliyo iacha Dk. B. Kakurwa, nafasi hiyo inahitaji mtu mwenye kuendesha mambo kijeshi jeshi na mbunifu, sifa hizo Makonda anazo sana.Stone mjanja sana kuna skendo Dr alianza kuandaa mtandao wa 2025 ili kumzunguka farao
Hii kitu itamfanya kuwa mbali na chama na mipango yake
Ni kwamba hawa walikuwa mabalozi kabla ya kupewa hizo nyadhifa mpya.Jf ya siku hizi ina vilaza sana. Balozi Kijazi alipokuwa KM alikuwa balozi wa nchi gani? Balozi Sefue alipokuwa KM alikuwa balozi wa nchi gani? Vipi kuhusu Balozi Mahiga alipokuwa waziri alikuwa balozi wa nchi gani pia?
Unasahau kuwa Dr. Bashiru alikuwa mtumishi wa umma...So anarudi kwenye utumishi wa umma baada ya kutumikia cheo cha juu cha kisiasa.Hakuna uhusiano wo wote baina ya utumishi serikalini na ilani ya chama cha siasa. Mtumishi wa serikali anafanya kazi kwa kuzingatia kanuni za utumishi wa umma na anaweza kufanya kazi katika mazingira yo yote ya kisiasa bila kujali itikadi ya chama kilichopo madarakani.
Hivyo katibu mkuu kiongozi hapaswi kuwa mwanasiasa!
Lazima utofautishe kati mtumishi wa umma (public servant) na mtumishi wa serikali (civil servant). Bashiru alikuwa mtumishi wa umma lakini hajawahi kuwa mtumishi wa serikali.Unasahau kuwa Dr. Bashiru alikuwa mtumishi wa umma...So anarudi kwenye utumishi wa umma baada ya kutumikia cheo cha juu cha kisiasa.
Wakati mwingine tuwe na open minds...Kupata mtu mwenye experience kubwa kwenye taaluma na siasa huku akienda kufanya utendaji kwenye serikali, hiyo blend pengine ni muhimu sana kwenye kuchochea maendeleo ya nchi yetu......Huyu ni assest kubwa sana kwasababu kwenye maamuzi yake na utendaji wake atakuwa anaona vitu kwa 3D...Politically, academically na executive wise...Hii siyo previllage kwetu kama nchi?
Sometimes tuwe positive na kukubali mabadiliko chanya...Ameonyesha nidhamu ya hali ya juu kule kwenye chama na pengine ile transformation aliyofanya kule inahitajika kwenye government system pia...Why dont we give him a benefit of doubt na tutampima katika utendaji wake baadaye.
So you mean wanataaluma siyo civil servants?Bashiru hajawahi kuwa civil servant bali public servant, muda wote alikuwa mwanaharakati akifundisha chuo kikuu. Labda kama huelewi, waalimu siyo civil servants bali ni watoa taaluma ambao wanaweza kuwa serikalini au kwenye siasa.
Yes,wanataaluma siyo civil servants bali ni public servant.So you mean wanataaluma siyo civil servants?
Daah so civil is government...Hii nayo mpya....kwahiyo utumishi inasimiamia civil servants and public servants kwa sheria mbili tofauti siyo?Lazima utofautishe kati mtumishi wa umma (public servant) na mtumishi wa serikali (civil servant). Bashiru alikuwa mtumishi wa umma lakini hajawahi kuwa mtumishi wa serikali.
Wew ni kilazaaLazima utofautishe kati mtumishi wa umma (public servant) na mtumishi wa serikali (civil servant). Bashiru alikuwa mtumishi wa umma lakini hajawahi kuwa mtumishi wa serikali.
15 tena.Jikaze tu mwamba,ikiisha 5 inakuja mingine 10,halafu Mungu akitujalia uzima na afya tutatawala hadi israel mtoa roho atakapofanya kazi yake.Tunaenda hatua kwa hatua mpaka tuongee lugha moja.Kwenye sheria kuna msemo, justice must not only be done, it must also seem to be done.
Rais alikuwa na watu wengi sana wa kuwateua katika nafasi hii ya kiserikali isiyotakiwaa kuongozwa kisiasa, akachagua katibu mkuu wa chama chake ambaye ni mtu wa kisiasa.
Katibu Mku huyu ana historia tayari, historia mabayo hawezi kuikana na itamfuata tu huko kwenye civil servant.
Hivi Katibu Mkuu Kiongozi ambaye ashatoa matamko kibao ya kishabiki kwa kuishabikia CCM leo akiwaambia wafanyakazi wa serikali, watumishi wa umma, wasiendekeze siasa sehemu za kazi atachukuliwa serious?
Hivi, watu wakisema Magufuli ana mkakati wa kuingiza siasa za vyama kwenye civil service, atakuwa na point za kujitetea?
Hivi, hakuna watu wengine ambao hawana historia ya chama ambao wangefaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?
Umeongelea Katiba. Ukweli kwamba kitu hakikatazwi kikatiba haumaanishi kwamba kukifanya ni busara na jambo zuri.
Magufuli kama last custodian of the land hakatazwi kikatiba kuiuza nchi nzima iwe shamba la Emir of Qatar.
Hakuna sehemu ambapo katiba inamkataza kufanya hivyo.
Lakini je, kufanya hivyo itakuwa haki? Itakuwa sawa? Itakuwa busara?
Get things right...Avoid guess work...Lazima utofautishe kati mtumishi wa umma (public servant) na mtumishi wa serikali (civil servant). Bashiru alikuwa mtumishi wa umma lakini hajawahi kuwa mtumishi wa serikali.
Yes, civil is government na moja ya majukumu ya civil servants ni kudhibiti public servant kuhakikisha wanafanya kazi kwa kuzingatia kanuni na sheria. Wakati public servant wana wajibu wa kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia taaluma zao.Daah so civil is government...Hii nayo mpya....kwahiyo utumishi inasimiamia civil servants and public servants kwa sheria mbili tofauti siyo?
Am learning for sure, teach me!😀
Hapo hata sijaenda kwenye sheria inayowaweka hao wanaoitwa public or civil servants...Get things right...Avoid guess work...
civil.servant meaning - Google Suche
www.google.com
Now days we have open encyclopedia atleast through Google....though it also have junks
Mama yako alikuzaa ndiye kilaza ndiyo sababu ukazaliwa taahira!Wew ni kilazaa