IKULU: Rais Magufuli amteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

..Naamini Rais Samia Hassan amegundua kuwa uteuzi wa kada wa ccm kuwa katibu mkuu kiongozi ulikuwa ni makosa na ndio maana ameamua kufanya mabadiliko.
 
Dr. Bashiru anaandaliwa kuwa Rais ajae. Ameteuliwa kuwa Balozi na Katibu Mkuu kiongozi ili;

1) Awe karibu na serikali ili ajue inavyoendeshwa.

2) CV yake ikamilike kwamba aliwahi kuwa na post serikalini kama kiongozi wa Makatibu Wakuu.

3) Aanze kuwa karibu na Boss, ili ajue mienendo na matakwa ya Boss, hata kama akikalia kiti cha Urais basi asivuke mipaka ya Boss aliemuweka pale (Boss anasahau kwamba hata yeye alivokalia kiti kile, alimsahau na kumgeuka aliemteua).

4) Kuonyeshwa kwamba Boss anamuamini sana, hivo afanye juu chini katika njia yake ya Siasa kumkumbuka Mtakatifu Boss na asivunje uaminifu kwa Boss.

5) Ajue kwamba u-Communist ndani ya damu yake ndio uatakao mpa Urais wa nchi hii, ila amepewa nafasi ile aweze kubalance U-communist na U-socialist katika kuendesha taifa (Nchi hii ni ya Kikomunist nyuma ya pazia).

#Wana CCM wanaosaka Urais (Dr. Mwigulu & Co LTD) kwa nguvu sasa wapate akili na waache kuusaka Urais, Rais ajae ndio Dr. Bashiru Ally Kakurwa.
Unasemaje wewe??
 
Back
Top Bottom