Hii thread wadau wameikwepa. Nadhani nao wanakubaliana na Ikulu kualika celebs tu...! JS tutafika tu...Aisee asante sana kwa kuweka hii thread nilikuwa nafikiria hicho hicho hivi jamani wanaJF na wageni ni haki kweli nyumba kubwa iwe inaingiliwa hivyo bila mpangilio??potential scientists and farmers hawapewi chance ya kuingia kudiscuss important issues lakini warembo wanaingia na wanahostiwa chakula cha jioni na familia ya kwanza. TUTAFIKA???????