Ikulu: Mwenyekiti wa CCM, Dr. Magufuli akutana na kamati ya kuhakiki mali za chama

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau
Leo tarehe 28 Desemba 2017 Mh Rais Dkt John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo kwa mara ya kwanza na Kamati Maalumu ya kuhakiki mali za Chama cha Mapinduzi Ikulu ya Dar es salaam.
Kamati hiyo maalumu inaongozwa na Dkt Bashiru Ally na iliteuliwa na Mh Dkt John Magufuli tarehe 20/12/2017.
Source: Habari Leo
 
Back
Top Bottom