Ikulu kumchunguza Nyalandu kuhusu uhaini

Status
Not open for further replies.
Unajua mtu wa kumlaumu ni jakaya kikwete Raisi wa Jamuhuri . Alichofanya JK ni kuwapa watu ambao hawastahili kazi na mambo mengj na wanapoharibu anapanic na kusema yuko disappointed. Nachoweza kusema kama Tanzania haitakuwa makini.i can see another Zaire like that of Mobutu back in those days. Rais Kikwete ndio ameharibu nchi. I dnt mean no disrespect but thats the honest truth!
 
Kutokana na kauli yake aliyoitoa na hofu ya watanzania kuendelea kutumiwa na wasio itakia maendeleo nchi hii, Ikulu imeamua kufanya uchunguzi wa kina ikiwa ni pamoja na safari, mawasiliano yake kwa njia za email na simu, tweeter, facebook n.k, vile kuangalia program anazo zisimamia za kusomesha watoto katika maeneo ya mradi na kuchunguza funders wake.

Kingine kuangalia social network na ulimwengu wa kiintelegensia wa magharibi, endapo ataonekana na hatia adhabu ya uhaini itapambana nae hii ni kutokana na kauli yake aliyo isema Marekani ina mataka awe rais wa 2015, swala la moja kwa moja ni kwa maslahi ya nani?? na kwanini??? na kwanini aseme sasa hivi katika kipindi hiki??? Nani anampa ujasiri huo?? na ana immunity gani?? handler wake ni nani?? na je uwaziri alipewa kwa maslahi ya nani??? au ndio ana hujumu viwanda vya ndani kwa sasa ili kutimiza ndoto ya urais ???


naomba kuwasilisha nikiwa nasaka mengine yanayojiri.

mwandishi hio habari mwanzo wake ni upi maana umeandika umeanzia kati kati ya habari , haujamuleza huyo Nyalundu ni nani na ana wadhifa gani!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom