Ikulu inapochemka hata kwa waziri wake!

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,947
709
Ni jambo la kushangaza kuona taasisi nyeti nchini kama vile ikulu inaposhindwa hata kutambua ni nani waziri wake wa afya. Ukiangalia hii link hapa Ikulu Mawasiliano: Rais Kikwete apata tuzo, ashiriki shughuli mbalimbali New York Jumatatu utakutana na hiki kituko. Sina hakika mkweli ni nani katika hili. Kuna hii picha pamoja na maelezo yake katika hiyo blog ya ikulu. Je hayo maelezo ni ya kweli kuhusu waziri wa afya?

J21.jpg

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Profesa Makame Mnyaa Mbawala (kati), Waziri wa Maliasili na Utalii (shoto) pamoja na Mbunge wa Bukombe, Profesa Kulikoyela Kahidi wakiperuzi maandiko kuhusiana na mkutano huo wa kuhamasisha vita dhidi ya magonjwa ya kinywa
 
This a slip of the pen ambayo inatokea kila mara na ndiyo ubinadamu. These trifling discrepancies should not be an issue!
 
Mkuu kusema kweli hapa siyo slip of the pen. Hawa watu ndio wanamponza Rais hadi aonekane kuwa hasomi vitu wala kufuatilia. Hawa ndio wasaidizi wa Rais sasa kama wanakosea ama hawajui Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii ni nani si ajabu pia kukosea na kumdhalilisha Rais kwa kufikiri kuwa Butiama ni Nyamisisi. Hilo kosa ni kubwa mno: Eti Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Profesa Makame Mnyaa Mbawala.

Mbawala ni nani? Hatuna Waziri katika Nchi hii anayeitwa Profesa Makame Mnyaa Mbawala. Rais inabidi apitiie vizuri hilo kundi lake la wasaidizi. Ama hawapo makini au wanamhujumu.
 
JK is surrounded by a herd of cattle, and seems to like that!
 
Mkuu uko sahihi. Watu walianza kusema Kikwete yupo sawa ila wasaidizi wake ndio wanamuangusha cha ajabu hawafuti kazi hao wasaidizi wake wanaomuangusha.
 
Kama anazungukwa na watu/wasaidizi wanaomwangusha kwa nini asiwapige chini?????? hayo ni maneno/utetezi unaotolewa na watu wasiotaka kukabili kweli kwamba Jk mwenyewe ndo sehemu kubwa ya tatizo
 
This a slip of the pen ambayo inatokea kila mara na ndiyo ubinadamu. These trifling discrepancies should not be an issue!

Not tying shoelaces properly can cost a kingdom! Errors in geometric progression tending algorithms tend to be more catastrophic than they appear.

If this was such an exception as you make it seem, I would have chosen to give Ikulu the benefit of doubt. But sadly this is the rule.

Hivi watanzania wangapi wanaweza kujiuliza, kama Ikulu yetu haina proofreaders, IT systems zake zilizo katika internet ziko salama vipi?

Leo asubuhi nimesikia Mitsubishi (part of the Japanese military industrial complex) imekuwa compromised, hackers wame break SSL encryption used for million of websites.

Swali linakuja, kama Ikulu hawawezi ku proofread majina ya cabinet yao kabla ya publication, wanaweza ku patch IT systems zao in time?

Tunajua mpaka mwaka jana tu hapa walikuwa wanatumia yahoo.com email kwa mawasiliano.

Usitetee upuuzi.
 
This a slip of the pen ambayo inatokea kila mara na ndiyo ubinadamu. These trifling discrepancies should not be an issue!

Huwezi kusingizia kalamu kwa namna hiyo mkuu hapo wamechemka tu na ni kutokuwa serious tu!!
 
Mkuu uko sahihi. Watu walianza kusema Kikwete yupo sawa ila wasaidizi wake ndio wanamuangusha cha ajabu hawafuti kazi hao wasaidizi wake wanaomuangusha.

JK anateua wasaidizi wenye uwezo mdogo kuliko yeye kukwepa challenges. Ni ukweli usiopingika yeye mwenyewe anauwezo mdogo, sasa kuweka wasaidizi ambao uwezo wao ni mdogo kuliko yeye lazima kuwepo vituko vya kutosha ambavyo jamii inashuhudia mara kwa mara. Kuna mtu kasema eti ni "slip of the pen" kwahiyo inamaana wao wanaandika tu hamna ku-proof read?
 
Ni jambo la kushangaza kuona taasisi nyeti nchini kama vile ikulu inaposhindwa hata kutambua ni nani waziri wake wa afya. Ukiangalia hii link hapa Ikulu Mawasiliano: Rais Kikwete apata tuzo, ashiriki shughuli mbalimbali New York Jumatatu utakutana na hiki kituko. Sina hakika mkweli ni nani katika hili. Kuna hii picha pamoja na maelezo yake katika hiyo blog ya ikulu. Je hayo maelezo ni ya kweli kuhusu waziri wa afya?

J21.jpg

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Profesa Makame Mnyaa Mbawala (kati), Waziri wa Maliasili na Utalii (shoto) pamoja na Mbunge wa Bukombe, Profesa Kulikoyela Kahidi wakiperuzi maandiko kuhusiana na mkutano huo wa kuhamasisha vita dhidi ya magonjwa ya kinywa

Majina hayo yana Mushkeli kama ni slip of the pen basi warekebishe, ila Ikulu imejaa watu wassio makini kwani makosa haya na yanayofanana nayo huwa mengi sana kwenye hutuba za rais na taarifa za Ikulu
 
Back
Top Bottom