Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,948
- 710
Ni jambo la kushangaza kuona taasisi nyeti nchini kama vile ikulu inaposhindwa hata kutambua ni nani waziri wake wa afya. Ukiangalia hii link hapa Ikulu Mawasiliano: Rais Kikwete apata tuzo, ashiriki shughuli mbalimbali New York Jumatatu utakutana na hiki kituko. Sina hakika mkweli ni nani katika hili. Kuna hii picha pamoja na maelezo yake katika hiyo blog ya ikulu. Je hayo maelezo ni ya kweli kuhusu waziri wa afya?
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Profesa Makame Mnyaa Mbawala (kati), Waziri wa Maliasili na Utalii (shoto) pamoja na Mbunge wa Bukombe, Profesa Kulikoyela Kahidi wakiperuzi maandiko kuhusiana na mkutano huo wa kuhamasisha vita dhidi ya magonjwa ya kinywa