Ikulu inamhitaji zaidi Jairo kuliko inavyomhitaji Pinda?

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,033
23,869
Waziri Mkuu alisema kama angekuwa na mamlaka angemuwajibisha Katibu Mkuu Nishati na Madini siku ileile iliposomwa ile barua bungeni.

Baada ya ripoti ya CAG Katibu Mkuu Kiongozi Luhanjo anasema alichofanya Jairo ni utaratibu wa kawaida kabisa ...na kama Jairo ataweza kuwashtaki waliomdhalilisha ni yeye tu.

Nini implication ya haya kama sio kumdhalilisha na kumshusha Pinda na kumnyanyua Jairo ni nn?

Ndo maana mi nasema IKULU INAMHITAJI ZAIDI JAIRO KULIKO PINDA

Nakubaliana nawe kwani ni utaratibu gani huo wa kawaida kabisa anaodai CAG ambao waziri mkuu ambaye mawaziri wote wanafanya kazi chini yake asiufahamu?

Pinda mwenyewe kabla ya kuwa waziri mkuu alishafanya kazi wizara kadhaa kama huu ni utaratibu wa kawaida kwani asingekuwa ameuona kabla ya hapo, kama ni utaratibu ni huu ni wa kawaida how come hakuna mtu hata mmoja si waziri wala katibu mkuu wa wizara yeyote ile aliyejitokeza wakati wa vuguvugu zima na kusema kuwa huu ni utaratibu wa kawaida wote walikaa kimya.

Kama kweli ni huu ni utaratibu wa kawaida kwanini waziri mkuu hakustuliwa na waziri yeyote na kuambiwa amwache jairo kuwa huo ni utaratibu wa kawaida wizarani?

PINDA INABIDI AJIUZULU KULINDA HESHIMA YAKE NA PIA KUPINGA DHARAU MBAYA ALIYOONYESHWA NA IKULU.

Ndio naunga hoja kuwa ikulu inamtaka zaidi Jairo kuliko Pinda!maana Jairo ndie atakaemrithi Luhanjo soon Oct hapo sasa Pinda sijui atajificha wpai uso wake heri asome alama na aombe kupumzika aseme tu anaumwa!!aibuu

Luhanjo anamwona Pinda kama mtoto yatima anayetenda bila kujua kuwa amezungukwa na wimbi la maadui.
Hawezi kumwogopa hata kidogo kwani JAIRO na LUHANJO wamekula madili mengi na JK, kwa hiyo wanamuona PINDA kama mtu anayecheza ngoma asiyoijua.

Pinda is an accidental prime minister cheo kakipata kibahati na haikutokana na nguvu yoyote aliyo nayo ndani ya chama. Jairo inajulikana wazi ni mtu wa JK tokea zamani. Pinda kaukwa tu kwa vile EL alijiuzuru na serikali ilihitaji mtu asie na makundi wala nguvu kujaza nafasi. Huo ndiyo ukweli.

Pinda ni kizazi cha wale mawaziri amabao naweza kusema bado wana "mawazo ya kijamaa". Pinda hajafanya kazi kwenye wizara amabazo zina madili ya ajabu ajabu. Na kama amefanya sababu ya "Unoko"wake na kutachangamkia dili anapitwa na style mpya za mawazir na viongozi wa sasa ( JK, Mkapa) ambazo ndio hizo Luhanjo anaona zinafaa .

Kizazi cha mawaziri wafanyabishara na ambao wanatumia nafasi zao kujilimbikiza zaidi na kunifaisha biashara zao

Nitakubalina na wewe ukisema Pinda does not form nice leadership couple le na JK. JK aliform nice leadership couple na Lowasa Sabbau wanajuaa "usanii" wao. kitu amabcho ni tofauti kwa pinda.

Kusema hivyo sio kwamba pinda ni kiongozi mbaya. Ni kwamba usitegeme kondoo moja afanye miujiza ndaniya kundi la ngo'mbe. Na kama Pinda angekuwa mtu wa tamaa ya madaraka angetumia situation hii kujipatia umaarufu. Kama samuel sita angekuwa nafasi ya Pinda ohhhhh kuna mambo yangefanyika sio sabbau mtu anauchungu na wananchi au mali ya umma ila kwa sababu ana uchugu na kuwa rais

Pinda sio fully qualified Politician wich is Good. Fully qualified politcina ni sanaaa tu. Ndio maanapinda alikosa nak majibu kamaya maremeta sababu sio mwanasiasa.

Huu ndio ukweli mkuu

Pinda kadhalilishwa sana ktk hlo.he was dancing 2 a tune unfamiliar 2 him.poor him

pinda is an accidental prime minister cheo kakipata kibahati na haikutokana na nguvu yoyote aliyo nayo ndani ya chama. Jairo inajulikana wazi ni mtu wa jk tokea zamani. Pinda kaukwa tu kwa vile el alijiuzuru na serikali ilihitaji mtu asie na makundi wala nguvu kujaza nafasi. Huo ndiyo ukweli.
ya kweli hayo ndugu yangu ???????????????

Waziri Mkuu alisema kama angekuwa na mamlaka angemuwajibisha Katibu Mkuu Nishati na Madini siku ileile iliposomwa ile barua bungeni.

Baada ya ripoti ya CAG Katibu Mkuu Kiongozi Luhanjo anasema alichofanya Jairo ni utaratibu wa kawaida kabisa ...na kama Jairo ataweza kuwashtaki waliomdhalilisha ni yeye tu.

Nini implication ya haya kama sio kumdhalilisha na kumshusha Pinda na kumnyanyua Jairo ni nn?

Ndo maana mi nasema IKULU INAMHITAJI ZAIDI JAIRO KULIKO PINDA
Ikulu yetu ni kambi ya wala rushwa, mafisadi na wadhalimu mbali mbali. Iwapo Pinda si mwenzao katika hayo makundi nadhani watakuwa hawamhitaji.

Wabunge muisaidie nchi hii kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani na Serikali hii ya mafisadi ya Tanzania.

Mtoto wa mkulma sasa chal.~~~
aibu yake mwenyewe, next tyme amuulze mkuu wake kama muhuska anafaa kuwajbsha au lag

Kweli Ikulu (JK) anamuhitaji Jairo sana. Kwanza nimeshangazwa na Kauli ya Luhanjo kuwa Jairo anaweza kumshtaki Kilango. kwa mtu ambaye ni kiongozii hawezi kufanya vile kwani direct anaonyesha yupo upande upi na hata kama Jairo angekuwa na hatia still angempendela maana ameonyesha wazi msimamo wake.
Hii Serikali kwa kweli imechoka, mkuu wa kaya hasemi neno kama hayupo vile, kila mmoja anaonesha ubabe upande wake. Nimefurahishwa na kauli ya Ndugai kuwa "kama ni dharau wazifanyie huko huko (IKULU)sio kwa wabunge"

Pinda ni kizazi cha wale mawaziri amabao naweza kusema bado wana "mawazo ya kijamaa". Pinda hajafanya kazi kwenye wizara amabazo zina madili ya ajabu ajabu. Na kama amefanya sababu ya "Unoko"wake na kutachangamkia dili anapitwa na style mpya za mawazir na viongozi wa sasa ( JK, Mkapa) ambazo ndio hizo Luhanjo anaona zinafaa .

Kizazi cha mawaziri wafanyabishara na ambao wanatumia nafasi zao kujilimbikiza zaidi na kunifaisha biashara zao

Nitakubalina na wewe ukisema Pinda does not form nice leadership couple le na JK. JK aliform nice leadership couple na Lowasa Sabbau wanajuaa "usanii" wao. kitu amabcho ni tofauti kwa pinda.

Kusema hivyo sio kwamba pinda ni kiongozi mbaya. Ni kwamba usitegeme kondoo moja afanye miujiza ndaniya kundi la ngo'mbe. Na kama Pinda angekuwa mtu wa tamaa ya madaraka angetumia situation hii kujipatia umaarufu. Kama samuel sita angekuwa nafasi ya Pinda ohhhhh kuna mambo yangefanyika sio sabbau mtu anauchungu na wananchi au mali ya umma ila kwa sababu ana uchugu na kuwa rais

Pinda sio fully qualified Politician wich is Good. Fully qualified politcina ni sanaaa tu. Ndio maanapinda alikosa nak majibu kamaya maremeta sababu sio mwanasiasa.
Angekuwa na mawazo ya kijamaa asingeshabikia ile kampuni ya Kimarekani Agrisol kupewa ekari zaidi ya laki mbili kwa dola elfu saba tu na huku wakilipa kodi ya shilingi 200 kwa mwaka kwa ekari moja kwa miaka 99. Ni bepari tu anayepapatika.

Nakubaliana nawe kwani ni utaratibu gani huo wa kawaida kabisa anaodai CAG ambao waziri mkuu ambaye mawaziri wote wanafanya kazi chini yake asiufahamu?

Pinda mwenyewe kabla ya kuwa waziri mkuu alishafanya kazi wizara kadhaa kama huu ni utaratibu wa kawaida kwani asingekuwa ameuona kabla ya hapo, kama ni utaratibu ni huu ni wa kawaida how come hakuna mtu hata mmoja si waziri wala katibu mkuu wa wizara yeyote ile aliyejitokeza wakati wa vuguvugu zima na kusema kuwa huu ni utaratibu wa kawaida wote walikaa kimya.

Kama kweli ni huu ni utaratibu wa kawaida kwanini waziri mkuu hakustuliwa na waziri yeyote na kuambiwa amwache jairo kuwa huo ni utaratibu wa kawaida wizarani?

PINDA INABIDI AJIUZULU KULINDA HESHIMA YAKE NA PIA KUPINGA DHARAU MBAYA ALIYOONYESHWA NA IKULU.

haiwezekani kwa Pinda kujizulu kwa kuwa ni katika bajeti ya mwaka huu ndipo amepokea rushwa ya barabara za lami kujengwa Rukwa. Rushwa ni rushwa, akina jk na luhanjo wanajua hana ubavu wa kuitema rushwa hiyo na atavumilia manyanyaso yote

Back
Top Bottom