Ikulu imechemka ilivyoandika pongezi kwa Papa Benedict XVI kwenda Vatican

Tanzania was found on 1-1964 ......... Union of pemba and zimbabwe islands with Tanganyika mainland.
Thank you......

Inasikitisha kweli! Tuna safari ndefu kweli kweli, sijui tutayafikia lini maendeleo tuyatakayo kwa Kuongozwa na viongozi sampuli hii!


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mie pia niliiona hii ikanitatiza sana, nikafikiri labda kuna kitu katika protocol za Vatican kama vile Papa anachukua upapa wa papa aliyemuacha na anaweza kupongezwa kwa niaba yake :)

1. Why congratulate Pope Benedict XVI now for something that happened 34 years ago (and not as a commemoration either)?
2. Why call this "the occasion of the inauguration of the Pontificate of .." while it is a commemoration and not the actual inauguration?

The only way one could explain this is if the word occasion is meant as in commemoration. Then the congratulatory note is congratulating the Vatican on this commemorative day just as the Vatican can congratulate Tanzania on some commemorative day, say Nyerere's inauguration as president, depending on how we commemorate such days.

Salva alishawahi ku mangle a two sentence statement, sitashangaa hapa akitumia lugha tata bila ulazima. Ikulu haina hata proofreaders, worse still haijui hata kutumia spellcheckers.

ni kizungu kigumu tu mkuu, kile cha we are manufacturing primary school teachers. Na wako busy na safari, saa ngapi watapata nafasi ya kufanya proof reading?
 
Wangem-consult Monsinyori Makangarawe wa Baraza la Maaskofu pale Kurasini kwanza kwa issue hii
 
Hivi hiyo barua ya IKULU imeshakwenda VATICAN? Mbona hii IKULU ya JK inatutia aibu Watanzania?!

Juzi tumesikia Waziri wa JK akisema Tanzania was found 1-1964 na Muungano wa visiwa vya Pemba, Zimbabwe na Tangayika.

Tukasikia kwamba Membe alisaini mkataba bila kuusoma tena ambao sio wa kwake.

Kama IKULU ilikuwa haijui kinachoendelea VATICAN, kwanini wasinge consult UBALOZI wa VATICAN? au basi hata TEC?

Sijui hili li-Salva linafanya nini hapo IKULU kwani hata press release za kiswahili haliwezi kuandika na bado JK amelikumbatia. sasa ngoja limuabishe!
 
Najuwa atakuwa Dr Slaa tu ndiye aliyegunduwa hiki kimeo ila hataki kujionesha.
Na haya madudu yote ya wiki hii Chadema wanahusika kwa namna moja au nyingine
Tatizo Chadema wanatafuta umaarufu
Chadema hawafai sasa mnaona tunavyoaibika
Chadema hawa hawafai
 
Ni jambo la kushangaza sana kwa nini Ikulu inaweza kufanya kosa kama hili

Niambie lini Ikulu walikuwa makini?

jk.jpg
 
Vitu vingine kama hujui siyo lazima utoe pongezi,no data no right to speak,Serikali yetu bwana kwa kutuaibisha haijambo!
 
JF Kiboko dah huyu bwana mtaalamu wa haya mambo, anazidi kumvua nguo Salva Rweyemamu ambaye mimi namjua kama kanjanja mjuaji mjuaji mtoto wa mjini mchumia tumbo.
 
Kama hawana utaalamu wangeipitisha hapa jimbon dsm kwanza kwa uhakiki hakika wametufedhehesha na naamini balozi wa vatican baada ya kuipitia atawarudshia kwa marekebsho
 
Tusubirie tu sasa Ikulu wakanushe...

Hii issue wala haikuhitaji mtaalamu wa mambo hayo aliyebobea; wangepewa wale watoto wa Pade Segerea tu chini ya Mwl. Pd. Kulwa, wangeandika kitu cha maana...

" Tunayoyaona Sasa ni matokeo ya novena aliyofunga Dkt Slaa baada ya ile dhuluma aliyofanyiwa. Tusubiri. Tutaona mengi sana"
 
That's him...... he cant run away from who he is, bahati mbaya sana what he is has imemsababishia kujichagulia watu anaofanana naye, Membe angeweza kumsaidia katika hili, lakini na yeye akili yake ilikuwa busy na chaguzi ndani ya chama, pia rais angeweza hata kuomba mwongozo kutoka hapo baraza la maaskofu au hata hapo Jirani saint Joseph, au hata kijijini kwake msoga ili wammuelekeze taratibu zilivyo au kama barua inawakilisha uhalisia wa kile anachokiandikia.
Tunapomkosoa hatumaanishi kuwa anatakiwa ajue kila kitu, bali anatakiwa ajue namna ya kutumia watu/wataalam wamzungukao.
Jamii ni pana na mazingira ni tofauti na taaluma ni mchanganyiko, uzoefu unatofautiana, na mambo mengine mengi tu, JK na watu wake wanapaswa walitambue hili na wachukulie tofauti hizo kama rasilimali na stepping stone kuelekea katika kesho yetu badala ya kuona kuwa tunaotofautiana nao ni tatizo au adui kwetu, matokeo yake anatafuta watu anao fanana nao akili na mitazamo katika kuongoza taifa kubwa na lenye changamoto nyingi kama hili, na kuishia kusababisha matatizo kila wakati.....ni hatari sana.
 
barua haijapokelewa maana ina makosa mengi ....walioandika walikuwa hawajui wanaandika nini !!!...mambo ya ajabu sana....
 
Ikulu yetu haina wataalamu wa lugha na kwa ujumla lugha sanifu ni janga la kitaifa.

mku siyo wataalam wa lugha tu mi naona hamna kabisa wataalam kwa jinsi utwala wa jk ulivyojaa kasoro nyingi
mara gari yake tairi imechomoka, mara magari yake yamechakachuliwa mafuta, mara anafungua hotel kesho yake inavunjwa hayo ni baadhi nafikiri mengine yanajulikana, tutakuwa tunajiabisha tukisema tuna wataalam.
 
Kwa nini Ikulu isiajiri wataalamu wa lugha wakati wamejaa tele? Aibu hii hadi lini?
Ningekuwa mimi Kikwete ningemtumia kwa karibu sana bwn,Nkapa kunisaidia mambo ya lugha manake yuko sawasawa.Vinginevyo nakuunga mkono Lugha Ikulu ni janga la kitaifa.
 
Back
Top Bottom