Ikulu; Hekalu Takatifu Iililogeuzwa Pango La Wezi

Hijja Madava

JF-Expert Member
May 14, 2014
3,170
2,000
Watanzania Wapendwa Hakuna Ofisi Muhimu Kwetu Kama Hii
Ofisi Hii Ikiyumba Nchi Nzima Inayumba Ofisi Hii Yenye Mipango Yote Ya Nchi Kwa Sasa Haiko Salama Baba Wa Taifa Alionya Sana Tusiifanyie Majaribio Ofisi Hii Sasa Wandugu Kipindi Hiki Ndicho Ambacho Watanzania Tumekosea Kupita Kiasi Kwa Kumweka Mkuu Ambaye Ameunajisi Utakatifu Wa Ofisi Hii Kwa Sasa Ofisi Hii Haina Tamko La Lazima Kuna Wasemaji Tu Wa Kuitisha Preses Comfrence Na Kuelezea Au Kujibu Maswal Mepesmepes Tu Lakin Kunapohitajika Tamko Kutoka Kwa Mkulu Hilo Iinakosekana Kutokana Na Eitha Mkuu Huyu Hajui Majukumu Yake Au Anaipuuza Kazi Yake Au Hajui Wajibu Wake Kwa Mfano Wiz Huu Ambao Hata Familia Yake Imetajwa Tulitegemea Tamko Kutoka Kwake Ao Amr Ya Kumfuta Kazi Jaji Mkuu Na Kuvunja Baraza La Mawaziri Au Yeye Kujiuzulu Lakin Mkuu Huyu Yuko Kimya Kana Kwamba Hayamuhusu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom