Ikulu, Dodoma: Humphrey Polepole na Waziri Kindamba waapishwa

Hii nchi utafikiri tupo kwenye The Godfather na Kina Michael Corleone...

Na hizo ndio moja ya Offer ambazo ni very difficult ku-refuse...

Sio kwamba nasifia bali nasikitika sababu Taifa halipaswi kuendeshwa hivi
Luka Brasi
 
Acheni kuchachawa.. ubalozi ni nafasi kubwa na ya heshima sana.. Huyo polepole tayari anaheshima za ubalozi na ataitwa balozi na kugharamiwa na serikari maisha yake yote..
Ndivyo ilivyo?
 
Ndivyo ilivyo?
Ndo Hivyo ilivyo..Huyo kwa sasa ni Presidential representative.. huyo sasahiv hata ikistaafu akikaa nyumbani kwake na hana kazi yoyote..heshima yake ya ubalozi iko palepale hadi kufa..utakapotaka kumwita jina lake lazima uanzie na ''balozi'' hamphrey polepole..
 
Haya mambo ya kuheshimu mamlaka ndio hutengeneza maraisi miungu huku afrika. Raisi anapaswa kupingwa ndani na nje ya chama.
Hiyo ndio demokrasia.
Ana pinga nini? Anataka SSH atukane watu hadharani na kuwafukuza kazi watu kwa hila? Wapinzani wapigwe risasi na kubambikiwa kesi? Gone are those days, akubali matokeo, kama ahamini aongee na brother wake Job.
 
Mheshimiwa Dr Comrade Nichukue nafasi kukupongeza kwa heshima hii kubwa uliyopewa kuja hapa Lilongwe. Hakika ni furaha kubwa dunia nzima kupata kijana, Msomi wa aina yako kuingia katika medani za diplomasia ukiwa bado una nguvu na akili nyingi.

NB: Malawi pametulia hakuna make Kama Brussels
 
Back
Top Bottom