Ikulu, Dar: Yaliyojiri Kuapishwa kwa Mawaziri wateule Hussein Bashe na George Simbachawene

PIGA KAZIIIII MSUKUMAAA WETUUU
HESHIMAAA IMERUDIII MJINI NA BADOO
WASIOFANYA KAZIII NA WASILEEE WANAOSUBIRI TEUZIII WASUBIRISANAAA

HAKUNAAA ALIEZALIWAA KUWA WAZIRIII MILELELEEE
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
waweja baba....ginee
 
Kuanzia leo ndio wale waliokuwa wakidai bashe ni very smart kichwani watakapoanza kuamini kwamba binaadamu alitokea kwa manyani.
Niungane na wewe kwa kusubiri kuthibitisha kuwa ukiwa na akili ccm hawakutaki na ukibahatika kuchaguliwa basi akili ziache nyumbanu uwe zezeta BASHE ukiwa mpuuzi kama kina kabudi basi nitaamini walichokuwa wanasema watu kuhusu ccm kuwa ni chuo cha kulemaza akili
 
Imarisha Kwanza uwezo wako wa Kufikiri kwani bado ni mdogo sana.
Sidhana kama unao weledi na maarifa ya kupima uwezo wa mtu wa kufikili. Misingi hiyo huna zaidi ya mihemuko. Kwamba mtu akisema usichotaka huyo hana uwezo wa kufikili. Poor you!!
 
1.Kama nilivyosema awali nakufuatilia sana.

2.Lengo la mhe. Rais ni kushughulika na wanyonge.

3.Wanyonge wa nchi hii in wafanyakazi na wakulima.

4.CCM ni ya wakulima na wafanyakazi.

5.Pamoja na kwamba unatuhudumia wote lakini kwa misingi ya chama inapaswa iwe kwa wakulima na wafanyakazi.

6. Nimekuwepo kwenye sekta ya ushirika nakaribia miaka 10 sasa,tumia ushirika,utafanikiwa sana.

7.Amina.
 
Hivyo vyama vya ushirika vimekithiri sana rushwa,. Aanze upande huo kwanza
 
Kama Mafanikio ya kilimo yanategemea vyama vya ushirika basi Miaka ya 1970s kilimo kingefanikiwa

Mafanikio ya Kilimo yatakuwepo kwa kuruhusu kilimo kijiendeshe kibiashara


Huwezi kuendesha kilimo kiujamaa ukaota kupata Mafanikio ya Kibepari
 
Back
Top Bottom