IKULU, Dar: Rais Samia Suluhu apokea hati za Mabalozi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,612
141,432
Rais Samia ànapokea hati za utambulisho wa mabalozi wateule wa nchi mbalimbali.


Ikulu.jpg
Kazi Iendelee!
 
Hayo mabarakoa yao wasije tulazimisha na raia tuvae kwa lazima, ameshaua uchumi wa utalii na biashara kwa kulazimisha all foreigners quarantine kwa 14 days, sasa asitulazimishe na mabarakoa yake.
 
Kazi ya kwanza ya serikali yeyote Duniani ni kulinda Raia wake na mali zao .. sasa kama viongozi wameona kuna hatari au umuhimu wa kuvaa barakoa kwa nini wasiwambie Raia wao kuwa wavae? Nachukia sana mtu mnafiki bora JPM aliamua kabisa kuwa hakuna kuvaa barakoa na alionyesha kabisa hakuna haja ya kuvaa.

Sasa serikali hii inaona umuhimu wa kuwalinda wazee Mlimani City ambapo wanakutana masaa 2 kwa siku moja na kuwaacha wajifie wenyewe mtaani ambapo wapo kila siku.
 
Sasa hivi ni lazima kwenye mikusanyiko kuvaa Barakoa tukufu
Barakoa sio hirizi ya kuzuia uchawi, mikusanyiko lazima pia izuiliwe basi maana ndio ushauri wa wataalamu wa afya ila cha ajabu tunaendelea kukusanyana hata pasipokuwa na ulazima kwa kutegemea barakoa itakukinga ni kukosa uelewa tu.

Tunahimizana kuvaa barakoa tu hali watu wenyewe hata hawajui matumizi sahihi ya barakoa, ni masihara tu.
 
Izo chuki zenu zitawaua mbwa nyinyi wakisukuma,,mbona lile dikteta jinga kila siku lilikuwa linaonekana yeye tu kwenye media na mlikuwa hamsemi kitu,, mbuzi ww
Unaongea kana kwamba Tz tatizo letu kubwa ni udikteta wa Magufuli tu, kuna suala mfano la katiba ambalo Magufuli amelikuta na kuliacha na Mama Samia nae hadi sasa haoneshi kushughulika na hilo jambo ila watu mnaona matatizo yenu yote yameisha kwa kufa kwa Magufuli, msipoangalia mtaendelea kumshabikia huyu mama na kugeuka kuwa wasifiaji hadi mwisho kwa kudhani hivyo mnawakomoa hao mnaoita sijui wasukuma halafu nae atamaliza muda huku akiwa kaacha matatizo yenu ya msingi yakiwa vilevile.
 
Kazi ya kwanza ya serikali yeyote Duniani ni kulinda Raia wake na mali zao .. sasa kama viongozi wameona kuna hatari au umuhimu wa kuvaa barakaa kwa nini wasiwambie Raia wao kuwa wavae? nachukia sana mtu mnafiki bora JPM aliamua kabisa kuwa hakuna kuvaa barakoa na alionyesha kabisa hakuna haja ya kuvaa. Sasa serkali hii inaona umuhimu wa kuwalinda wazee Mlimani City ambapo wanakutana masaa 2 kwa siku moja na kuwaacha wajifie wenyewe mtaani ambapo wapo kila siku
Ulinzi wa afya yako unaanza na wewe mwenyewe bwashee!
 
SUKUMA GANG mnaonekana kupata shida kwenye kila afanyalo SSH, leo hii mmesahau kuwa mwendazake alikuwa hata akila mahindi barabarani tunaonyewsha, hata akipewa kuku kama mahari ya mama yake mlikuwa mnatuonyesha, akienda kusali mnatuonyesha?
Unaongea kana kwamba Tz tatizo letu kubwa ni udikteta wa Magufuli tu, kuna suala mfano la katiba ambalo Magufuli amelikuta na kuliacha na Mama Samia nae hadi sasa haoneshi kushughulika na hilo jambo ila watu mnaona matatizo yenu yote yameisha kwa kufa kwa Magufuli, msipoangalia mtaendelea kumshabikia huyu mama na kugeuka kuwa wasifiaji hadi mwisho kwa kudhani hivyo mnawakomoa hao mnaoita sijui wasukuma halafu nae atamaliza muda huku akiwa kaacha matatizo yenu ya msingi yakiwa vilevile.
Sasa unata katufanyeje?

Shida ni kwamba Matatizo hayaishi!

Matatizo yanapungua tu

Magufuli amekufa tumefurahi sana.

Heri matatizo mengine ya kimaskini, Lakini sio matatizo ya mauaji.. Magufuli ameua watu Sana tena watu muhimu kwenye familia zao.
Mungu Fundi
 
Back
Top Bottom