johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,819
- 141,727
Rais Samia ànapokea hati za utambulisho wa mabalozi wateule wa nchi mbalimbali.
Kazi Iendelee!
Anatimiza majukumu yake mkuu akipotea watu hawakawii kuzusha kuwa ni mgonjwa.Mama anapenda kiki. Rais inabidi apotee kidogo hewani
SUKUMA GANG mnaonekana kupata shida kwenye kila afanyalo SSH, leo hii mmesahau kuwa mwendazake alikuwa hata akila mahindi barabarani tunaonyewsha, hata akipewa kuku kama mahari ya mama yake mlikuwa mnatuonyesha, akienda kusali mnatuonyesha?Mama anapenda kiki.. Rais inabidi apotee kidogo hewani
Sasa hivi ni lazima kwenye mikusanyiko kuvaa Barakoa tukufu.asitulazimishe na mabarakoa yake
Ni Mazezeta wasiojua wanataka nini zaidi ya kupenda kuona Binadamu wenzao wakiteswa.Wapenzi wa jiwe sasa ndio wapinzani wa Samia.
Maisha yako kasi sana.
Izo chuki zenu zitawaua mbwa nyinyi wakisukuma,,mbona lile dikteta jinga kila siku lilikuwa linaonekana yeye tu kwenye media na mlikuwa hamsemi kitu,, mbuzi wwMama anapenda kiki.. Rais inabidi apotee kidogo hewan
Barakoa sio hirizi ya kuzuia uchawi, mikusanyiko lazima pia izuiliwe basi maana ndio ushauri wa wataalamu wa afya ila cha ajabu tunaendelea kukusanyana hata pasipokuwa na ulazima kwa kutegemea barakoa itakukinga ni kukosa uelewa tu.Sasa hivi ni lazima kwenye mikusanyiko kuvaa Barakoa tukufu
Pole sana Mataga. Sasa hivi mmekuwa kama Bavicha.Hayo mabarakoa yao wasije tulazimisha na raia tuvae kwa lazima, ameshaua uchumi wa utalii na biashara kwa kulazimisha all foreigners quarantine kwa 14 days, sasa asitulazimishe na mabarakoa yake.
Unaongea kana kwamba Tz tatizo letu kubwa ni udikteta wa Magufuli tu, kuna suala mfano la katiba ambalo Magufuli amelikuta na kuliacha na Mama Samia nae hadi sasa haoneshi kushughulika na hilo jambo ila watu mnaona matatizo yenu yote yameisha kwa kufa kwa Magufuli, msipoangalia mtaendelea kumshabikia huyu mama na kugeuka kuwa wasifiaji hadi mwisho kwa kudhani hivyo mnawakomoa hao mnaoita sijui wasukuma halafu nae atamaliza muda huku akiwa kaacha matatizo yenu ya msingi yakiwa vilevile.Izo chuki zenu zitawaua mbwa nyinyi wakisukuma,,mbona lile dikteta jinga kila siku lilikuwa linaonekana yeye tu kwenye media na mlikuwa hamsemi kitu,, mbuzi ww
Mlikuwa Wabishi sasa mnanyookaTunahimizana kuvaa barakoa tu hali watu wenyewe hata hawajui matumizi sahihi ya barakoa, ni masihara tu.
Ulinzi wa afya yako unaanza na wewe mwenyewe bwashee!Kazi ya kwanza ya serikali yeyote Duniani ni kulinda Raia wake na mali zao .. sasa kama viongozi wameona kuna hatari au umuhimu wa kuvaa barakaa kwa nini wasiwambie Raia wao kuwa wavae? nachukia sana mtu mnafiki bora JPM aliamua kabisa kuwa hakuna kuvaa barakoa na alionyesha kabisa hakuna haja ya kuvaa. Sasa serkali hii inaona umuhimu wa kuwalinda wazee Mlimani City ambapo wanakutana masaa 2 kwa siku moja na kuwaacha wajifie wenyewe mtaani ambapo wapo kila siku
SUKUMA GANG mnaonekana kupata shida kwenye kila afanyalo SSH, leo hii mmesahau kuwa mwendazake alikuwa hata akila mahindi barabarani tunaonyewsha, hata akipewa kuku kama mahari ya mama yake mlikuwa mnatuonyesha, akienda kusali mnatuonyesha?
Sasa unata katufanyeje?Unaongea kana kwamba Tz tatizo letu kubwa ni udikteta wa Magufuli tu, kuna suala mfano la katiba ambalo Magufuli amelikuta na kuliacha na Mama Samia nae hadi sasa haoneshi kushughulika na hilo jambo ila watu mnaona matatizo yenu yote yameisha kwa kufa kwa Magufuli, msipoangalia mtaendelea kumshabikia huyu mama na kugeuka kuwa wasifiaji hadi mwisho kwa kudhani hivyo mnawakomoa hao mnaoita sijui wasukuma halafu nae atamaliza muda huku akiwa kaacha matatizo yenu ya msingi yakiwa vilevile.
PICHA TAFADHALIRais Samia ànapokea hati za utambulisho wa mabalozi wateule wa nchi mbalimbali.
Ikulu ni full barakoa.
Tukio liko mubashara TBC, Channel ten, ITV na Upendo tv.
Kazi Iendelee!
Yani inahuzunisha sana na hayafichi chuki zao kwa mama yetu.Ni Mazezeta wasiojua wanataka nini zaidi ya kupenda kuona Binadamu wenzao wakiteswa.
Shujaa wao wa Mazezeta ndio hivyo tena anazidi kuliwa na Wadudu
Ugonjwa huu si typhd kuwa ukiweka neti umejikinga tunazungumzia ugonjwa wa kuitaji hatua za wote si mtu mmoja mmoja.Ulinzi wa afya yako unaanza na wewe mwenyewe bwashee!
Yaani maisha hayaWapenzi wa jiwe sasa ndio wapinzani wa Samia.
Maisha yako kasi sana.