Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na kufanya mazunguzmo na Tony Blair

Kinkunti El Perdedo

JF-Expert Member
Nov 28, 2020
1,642
2,000
Hata Nyerere na kushupaza shingo kujiona mwamba na mjuaji Kuna siku hali ya mapinduzi ilipofika kunako ilibidi ampigie magoti beberu m-british msaada wa kuzuia
 

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,062
2,000
Mnatoaga mifano ya Rwanda humu kila siku..
Si Kagame ndo mentor wa Baba yenu aliewaletea huo msemo wa Mabeberu?..
Sasa ubaya uko wapi?

Wakitusaidia wanakuwa 'marafiki wahisani'
Wakitoa maoni tofauti wanakuwa 'mabeberu'?
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
25,649
2,000
Mkuu hawa si ni mabeberu hawa, ka nini wanakaribishwa Ikulu, kuna biashara gani??
 

Ame

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
4,303
2,000
I always had a suspicion we inherited a globalist,today I confirmed it...Yani hii Blair Institute duh!sijui nianze wapi...tujiandae tu!
I confirmed this the day we had some calls from all of them across the world....God have mercy on us!
 

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,875
2,000
Tatizo lako nk k
Nimecheka kwa nguvu hiki ulichoandika, inawezekana kweli ukawa na hoja, ila hiyo hofu sio kwenye chanjo au dawa za wazungu, maana kwa sasa hakuna ambaye hajawahi kupata chanjo au dawa ya mzungu. Labda kama hizi hadithi za kugomea chanjo za wazungu ziwe za kufurahishia genge.
Tatizo lako ni kwamba hujui tofauti ya chanjo za corona na chanjo nyingine kama za ndui, polio nk. Kwa faida yako na ya wengine: Toauti ya chanjo za corona na zingine ni:
1. Chanjo ya corona haikukingi na maambukizi mapya na walipoona hivyo wakaja na fix eti unaweza kuambukizwa lakini hautaugua sana. Huu ni uongo kwanza kwa kuwa hata bila sehemu kubwa sana ya wanaoambukizwa huwa hawaugui sana na wengine wengj tu hata huwa hawajui kama wameshaambukizwa na corona. Kwa hiyo kutokuugua sana baada ya maambjkizi hakutokanina chanjo. Anayeugua sana ni yule ambaye alikuwa na ugonjwa sugu kama ugonjwa wa moyo, kisukari nk. Lakini chanjo zote zingine zinakukinga kabisa na maambukizi ya ugonjwa husika. Ndiyo maana leo tuna kizazi ambacho hakijawahi kuona mgonjwa wa ndui au polio!! Hii ni kwa sababu ya chanjo za ndui na polio.
2. Chanjo za corona zimetengenezwa kwa mwendo kasi! Hazikufanyiwa utafiti wa muda mrefu ili kujua athari yake ya muda mrefu. Zimetengenezwa kwa muda wa miezi 6-8!. Chanjo zote zingine zilikuwa zinaandaliwa kwa muda usiopungua miaka 15! Kwa muda huo ulifanyika utafiti wa kutosha kuhusu uwezo, usalama, athari za muda mfupi na muda mrefu nk. Kwa hiyo chanjo ya corona risk factor yake ni kubwa sana kuliko mara elfu ya chanjo zingine.
3. Chanjo za corona zinafanya kazi kwa kuingilia vinasaba vya binadamu. Kwa hiyo vinabadilisha asili halisi ya binadamu. Kwa hiyo madhara yake hayarekebeshiki na yanabebwa na vinasaba na kuambukiza vizazi vyote vijavyo vya mtu!! Ni madhara ya kudumu kwa kizazi cha binadamu! Chanjo zingine akiathirika mtu anaathirika peke yake. Lakini hizi chanjo za corona za mRNA akiathirika mtu athari hiyo inaambukiza kizazi chake kijacho na hakuna tiba! Kama ambavyo hakuna tiba ya albino, lakini ulemavu huu anaambukiza vizazi vyake vyote hali kadhalika athari ya chanjo ya corona itaandama vizazi vyote vijavyo vya waathirika!
Nadhani kwa tofauti hizo ndio maana wengi wanasita kupokea chanjo hizi lakini zkle zingine watu wanaendelea kuzikubali!!
 

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,875
2,000
Tony Blair- Mtume wa corona barani Afrika!! Anadai taasisi yake imejikita zaidi katika upimaji wa corona na chanjo!! Tayari taasisi yake iko kwenye mataifa 16 ya Afrika!! Huo ulaji ni wa kufa mtu! Ndiyo maana tusipopima watu wananuna!! Tukikataa chanjo watu wananuna! Ulaya hakuna mali asili nyingi ardhini bali wanatumia mali asili kichwani kunyonya mali asili barani Afrika!! Viongozi wakimegewa ten percent akili inawaruka na kuuza nchi zao!! Namshukuru sana mama amemwambia live "SISI TUNA MIKAKATI YETU YA KUPAMBANA ............." ya kwake arudi nayo kwenye briefcase yake!!
 

Lihakanga

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
2,933
2,000
Sasa amemvulia kofia kwa lipi hasa? Alafu kukutana na Blair kunalipi lamno maana nimstaafu tu Hugo!!' Msisifu kishamba Blair hana maajabu yeye akutane na wapinzani asikwepe jukumu hilo nahilo in ili kuitibu nchi
Kumbe hana kitu. Akutane na wapinzani kuhusu nini? Fafanua basi
 

kirengased

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
4,678
2,000
Kumbe hana kitu. Akutane na wapinzani kuhusu nini? Fafanua basi
Mimi simsifugi MTU kipumbafu na kikujipendekeza ujue,mpaka sasa hajafanya jambo la kuvuliwa kofia labda unieleze niyapi hayo??
Huwezi kukimbilia kukutana na wazungu viongozi wastaafu kabla ya viongozi wenzio ndani ya taifa!! Hii huwezi elewa kama unaukoko ubongoni. Unagomea kuongea na watoto wako wanaokuomba kwakuwa wanateseka unakimbilia wazee wambali hata sio majirani wanaokula nakusaza na watoto wao wakosupa.
Kiongozi timamu huangaika na moshi unaofuka kwake sio harufu ya pilau kwa jirani... period!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom