Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 4,476
- 11,026
Hata Nyerere na kushupaza shingo kujiona mwamba na mjuaji Kuna siku hali ya mapinduzi ilipofika kunako ilibidi ampigie magoti beberu m-british msaada wa kuzuia
Alafu mwisho wa wanajigamba nchi iko uchumi wa Kati uchumi unakua kwa 7%%Zile dola 541 milion za chanjo zitasababisha tuone kila rangi
akavaa BALAKOWA
Kile kilikuwa chuma. Uzee tu na kuoa binti kulimpoteza dira.N
Nasikia Mugabe alimpatia Tony ofa ya kumfanya kuwa mke wake wa pili kipindi kile UK & Obama wamekomaa kuhusu ndoa za jinsi 1
Bavicha nchi inafunguliwa..dua zenu zimejibiwaTangu mwendazake aende mabeberu sasa wanatamba tu !!
Unapigwa mwingi tulieni.mataga pori mnajua kujifariji sana.
Hivi ni mateso gani mapya mtakayowapa CDM ambayo hawajayapitia hapo awali??
Blair ni Obasanjo wa UlayaSasa amemvulia kofia kwa lipi hasa? Alafu kukutana na Blair kunalipi lamno maana nimstaafu tu Hugo!!' Msisifu kishamba Blair hana maajabu yeye akutane na wapinzani asikwepe jukumu hilo nahilo in ili kuitibu nchi
Atakuwa amekuja kumshawishi kuhusu ushoga maana huyo ni pioneer wa hayo mamboSamia Suluhu akutana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair...
I confirmed this the day we had some calls from all of them across the world....God have mercy on us!I always had a suspicion we inherited a globalist,today I confirmed it...Yani hii Blair Institute duh!sijui nianze wapi...tujiandae tu!
Tatizo lako ni kwamba hujui tofauti ya chanjo za corona na chanjo nyingine kama za ndui, polio nk. Kwa faida yako na ya wengine: Toauti ya chanjo za corona na zingine ni:Nimecheka kwa nguvu hiki ulichoandika, inawezekana kweli ukawa na hoja, ila hiyo hofu sio kwenye chanjo au dawa za wazungu, maana kwa sasa hakuna ambaye hajawahi kupata chanjo au dawa ya mzungu. Labda kama hizi hadithi za kugomea chanjo za wazungu ziwe za kufurahishia genge.
Kumbe hana kitu. Akutane na wapinzani kuhusu nini? Fafanua basiSasa amemvulia kofia kwa lipi hasa? Alafu kukutana na Blair kunalipi lamno maana nimstaafu tu Hugo!!' Msisifu kishamba Blair hana maajabu yeye akutane na wapinzani asikwepe jukumu hilo nahilo in ili kuitibu nchi
Mimi simsifugi MTU kipumbafu na kikujipendekeza ujue,mpaka sasa hajafanya jambo la kuvuliwa kofia labda unieleze niyapi hayo??Kumbe hana kitu. Akutane na wapinzani kuhusu nini? Fafanua basi