Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini (TPSF)

PRESIDENT SAMIA MEETS WITH THE SUZAN THOMPSON BUFFET FOUNDATION DIRECTOR


MICHUZI BLOG AT MONDAY, MAY 31, 2021 NEWS, HALL, EVENTS,



The President of the United Republic of Tanzania, H.E Samia Suluhu Hassan in conversation with the Director of Projects from Suzan Thompson Buffet (The Suzan Thomson Buffet Foundation) Professor Sinait Feisseno shortly after arriving at the State House in Dar es Salaam today May 31, 2021.


Photo : The President of the United Republic of Tanzania, H.E Samia Suluhu Hassan with the Director of Projects from Suzan Thompson Buffet (The Suzan Thomson Buffet Foundation) Professor Sinait Feisseno and the Minister of Health, Social Development, Gender, Elderly and Children Hon. Dr. Dorothy Gwajima immediately after their talks at the State House in Dar es Salaam.

The President of the United Republic of Tanzania, H.E Samia Suluhu Hassan bids farewell to her guest Suzan Thompson Buffet Foundation Project Director Professor Sinait Feisseno shortly after their talks at the State House in Dar es Salaam. PHOTO BY IKULU

Source : https://issamichuzi.blogspot.com/2021/05/rais-samia-akutana-na-kufanya_84.
 
Nahisi Corona Imenidaka, japo comment yangu haina mahusiano hapa.

Msaada Tafadhari
 
mwambieni aende dodoma ndiko serikali inatakiwa kuwa, kama anautaka uraisi aende dodoma, kama hataki arudi kisiwandui kupunga upepo
 
TZ Sector private foundation sio Wafanyabiashara acheni ubabaushaji hicho ni chama na hao ndio viongozi .... Wengine sie Makamapuni yetu hayapo kwenye huo uanachama.... Wafanyabiashara tunajijua Mama STUKA hilo ni genge tu linachukua ada za watu kwa manufaa yao... Kuna Mtanzania asiyewajua Wafanyabiashara nchi hii? Mama watampiga sana hadi astuke siku wanamuita JUMONG
 
Mama anakutana kila siku na makundi mbalimbali ya watu.

Ni muda muafaka sasa aanze ziara ya kukutana na wananchi.

Hayo makundi sio yaliyompigia kura kama makundi. Aende kwa wananchi.
Mjinga yeyote lazima awe na mawazo kama yako. Hao wapiga kura kila ukikutana nao ni vilio vya maji, barabara na huduma za afya nk. Na wawezeshaji wa hayo yote ni wafanya biashara ambao ndio walipa kodi itakayo tatua hayo matatizo ya hao unao waita wewe ndio wapiga kura.
 
Kwa forum ambayo ilikuwa na watu kila uchao wanalalama Magufuli anauwa biashara leo raisi kukutana na wawakilishi wao thread imepoa; nilitegemea shangwe ya shida zao zinasikilizwa lakini wapi.

Sishangai sana wapiga kelele wengi ni watu waliokuwa wanalilia kufanya biashara na serikali ulaji ambao Magufuli aliupunguza au hawana mazoea ya kulipa kodi.

Sasa hivi milango imefunguliwa kote huko mama kutana nayeyote wala hakuna political mileage kwenye hizo events ni kupoteza muda tu, walalamikaji walichokuwa wanakitaka ushawapa.

Hivi mtu unaanzaje siasa ukiwa mdogo unapitia UVCCM/TANU mpaka unafikisha umri wa miaka 60 bado ujajuwa tabia za watu unao waongoza tu na kusikiliza kelele zao zisizo na kichwa wala miguu.
 
31 May 2021

RAIS SAMIA AONGOZA MKUTANO na VIONGOZI wa SEKTA BINAFSI IKULU...




Angelina Ngalula, Mwenyekiti wa TPSF asema wamefurahi kupata wasaa wa kuongea na Mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo katika Ikulu ya jijini Dar es Salaam.

Rais Samia Suluhu Hassan , alikutana na viongozi wa sekta binafsi na kufanya nao mazungumzo na TPSF kumpa mrejesho kuhusu mazingira mapya yakufanya biashara yameboreka ktk muda mfupi tangu Mh. Samia Suluhu Hassan alipokutana na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Source : Global TV online
 
Rais Samia amekuwa na kikao na viongozi wa wafanyabiashara Ikulu jijini Dar es salaam.

Katika kikao hicho wafanyabiashara hao wamemweleza Rais Samia namna walivyojipanga kutekeleza vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita kama vilivyotangazwa na Rais pale bungeni.

Source: ITV habari!
Mabata kweki.

Yaani mazingira ya biashara wao wanaona kuwa yapo fresh?
 
TZ Sector private foundation sio Wafanyabiashara acheni ubabaushaji hicho ni chama na hao ndio viongozi .... Wengine sie Makamapuni yetu hayapo kwenye huo uanachama.... Wafanyabiashara tunajijua Mama STUKA hilo ni genge tu linachukua ada za watu kwa manufaa yao... Kuna Mtanzania asiyewajua Wafanyabiashara nchi hii? Mama watampiga sana hadi astuke siku wanamuita JUMONG


29 May 2021
Mwenyekiti wa TPSF aomba Benki ziweke masharti nafuu, wafanyabiashara wakope


Mwenyekiti wa taasisi ya sekta binafsi Tanzania, Angelina Ngalula ameziomba benki mbalimbali kuweka masharti nafuu kwa wafanyabiashara hasa wanaoanza biashara ili kuwawezesha kujiendeleza kiuchumi.

Ngalula ameyasema hayo leo katika mkutano wa mwezi wa Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) alipoitwa kama mgeni rasmi kuzungumza na wanawake kuhusu masuala ya biashara.

Amewataka wanawake kutumia fursa zilizopo katika maeneo yanayowazunguka kubuni biashara ambazo hazitawataka kuwa na mtaji mkubwa ama kutokuwa nao kabisa.

Pia amewasihi kuacha kutegemea biashara moja badala yake kutazama fursa mpya kulingana na wakati husika.

Source : Mwanahalisi TV
 
23 Dec 2020

Mhe. Geoffrey Mwambe akiongea na wanachama wa TPSF kwenye Mkutano Mkuu wa 20 wa Wanachama.​


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe akiongea na wanachama wa TPSF kwenye Mkutano Mkuu wa 20 wa Wanachama uliofanyika tarehe 22 Desemba, 2020 kwenye ukumbi wa Serena Hotel, Dar-es-Salaam.

Source : Biashara TV Tanzania
 
13 May 2016

TPSF Tanzania launcges the MSMEs Information Systems



March 10 2016, Official launch of MSMEs Information Systems by Hon. Charles Mwijage (MB) Minister of Industry Trade & Investment at 16th Tanzania Private Sector Foundation AGM - Serena Hotel, Dar es Salaam.

Present:
TPSF Chairman - Dr. Reginald Mengi
TPSF Vice Chairman - Salum Shamte Speaking,
Tanzania Private Sector Foundation Executive Director Godfrey Simbeye www.entrepreneurs.or.tz / www.wajasiriamali.or.tz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom