IKULU, DAR: Rais Magufuli awaapisha wateule wake wote akiwemo Prof. Mkumbo

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
IKULU:Rais Dkt Magufuli, Makamu wa Rais Samia Suluhu, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na waapishwa.

t.png


Rais Dkt Magufuli akimuapisha Charles Kichere kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato- TRA Ikulu jijini Dar es salaam leo.

n.png


Rais akimuapisha Bw. Baraka Luvanda kuwa Balozi wa Tanzania nchini India Ikulu jijini Dar es salaam leo.

m.png


Rais akimuapisha Sylvester Ambokile Mwakinyke kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini.

o.png


Waapishwa wakila kiapo cha maadili ya viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo baada ya kuapishwa na Rais.

p.png
 
sawa bwana , loosers ni wananchi always. hawa wapinzani wa kitanzania kwa kweli sidhani kama wanamaanisha wanachokiongea . Huyu Kitila Mkumbo kwa kweli kawaangusha wazalendo wenzie na jumuiya ya upinzani Tanzania
 
Watanzania tunachezewa sana akili zetu

Kila nikijaribu kufanya hesabu za bodimas kwenye huu uteuzi wa kitila nafel
 
Kitila sasa kwa jasho lake atakula. No more free lunch. Zile deal za kupewa pesa na lumumba basi tena. Kamwachia mwenzake.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kitila mkumbo!anyway tutazimisi zile speech zako za kukosoa serikali kule DW!
Leo nimewaona na makonda mubashara kama sio wewe uliyakuwa unamkomalia makonda kwenye vyeti feki
 
sawa bwana , loosers ni wananchi always. hawa wapinzani wa kitanzania kwa kweli sidhani kama wanamaanisha wanachokiongea . Huyu Kitila Mkumbo kwa kweli kawaangusha wazalendo wenzie na jumuiya ya upinzani Tanzania
Magufuli ana akili sana, ameamua kuangalia je kama kweli wanachokilalamikia wana maanisha au ni wivu kwa wenzao?
 
Kitila mkumbo!anyway tutazimisi zile speech zako za kukosoa serikali kule DW!
Leo nimewaona na makonda mubashara kama sio wewe uliyakuwa unamkomalia makonda kwenye vyeti feki
Mkuu utaendaji nyumbani kwa mwenyeji wako umkaukie mwanae?
 
Hivi Prof. Kitila alikuwaje ana-practise siasa wakati ni mtumishi wa umma bila kuchukuliwa hatua yoyote ya kisheria inayohusu utumishi wa umma?

Sioni maana ya 'utaifa kwanza' kama Zitto alivyodai ni sahihi kwa sababu vyama vya siasa vinatofautiana vipaumbele na mbinu za kufikia lengo kuu la kila chama cha siasa ambalo ni 'maisha bora kwa kila mtanzania katika miaka yote mpaka mwisho wa dunia'.

Sasa kama Prof. Kitila hakubaliani na vipaumbele vya CCM na mbinu za CCM anawezaje kuzitekeleza kwa ufasaha? Huu ndio utaifa kweli kutumia njia husiyokubaliana nayo kufikia malengo yanayoashiria utaifa? Au atakuwa anachanganya mbinu na vipaumbele vya ACT na zile za CCM?
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Someni hiyo ndiyo mtajua maprofessa wa nchi hii ***** zao
 

Attachments

  • Screenshot_2017-04-05-12-22-10.png
    Screenshot_2017-04-05-12-22-10.png
    185.8 KB · Views: 70
Back
Top Bottom