Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,560
Mmeambiwa mtalimia meno, halafu yakivunjika msifikiri ndiyo kisingizio cha kuacha kulima, kuna dentist wakuwaweka vyuma kwenye meno muendelee kulimia meno ya vyuma.Yeye anajiweka live, ila hataki Wabunge tuwaone live. Mzee selfish huyu jamani sijapata kuona. Ila nyie Wabunge hebu rudisheni bunge live why Yeye kila anachofanya anajiweka live ?
Ndiyo viwanda hivyo.