Ikulu, Dar es Salam: Rais Samia anawaapisha Majaji Wateule

Walisema saa ngapi.
1621265476356.png
 
sasa tuone hizo B 60 alizozifungulia BOT atazitoaje?
ni bora kawa Jaji akutane sasa na Habinder Sigh na Ruge waliomkatalia kumgawia pesa ya dhuluma ili wazile na Sukuma gang...
Ushauri wa Lema umepuuzwa?
 
Sasa hapo wale wote alioona wana kesi za kujibu kama yeye akiwa ndiye jaji si basi tena hakuna kushinda hapo
 
We fala acha ufala.
Mkuu Wewe ndo dereva kwenye huu uzi, inakubidi uwavumumilie abiria, otherwise usingeamzisha! Au ulitaka kushangiliwa kama kama Baba ako mwanakwendazake?! Hapa tutakupa za uso mpaka urudi kwenu, Burundi!
 
Back
Top Bottom