Ikulu, Chamwino: Rais Samia Suluhu Hassan amwapisha Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa JMT

Mama ahataki timu Magu wala timu kikwete yeye anataka kazi na kasisitiza anataka kazi.
 
wabayaa
Basi wametulisha tango pori

Sent using Jamii Forums mobile app
20210331_160317.jpg
 
Tubaki kuheshimu hizi Teuzi za Rais lakini...Wizara ya Afya, Waziri na Naibu wake wana maigizo sana kwakweli..!
 
Back
Top Bottom