Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli aapisha Baraza la Mawaziri. Awapunguzia adhabu wafungwa waliohukumiwa kunyongwa

Dah! Kuna waziri kashindwa kuapa na amefyekelewa mbali....ana degree ya Finance. Dunia sio fair Haki ya Mungu!
Na wakati anaapa nimeona JPM anacheka tu...kumbe alikuwa na leke moyoni.

Huyu Mbunge anahitaji ushauri wa kisaikolojia leo hii jamani...
 
Naibu waziri wa madini atumbuliwa live.H ajui kusoma hahahahah.Huyu atakuwa hawala wa majaliwa ndo alimpendekeza mwanaume mwenzake.
 
Amesema anasita kuitekeleza hio adhabu kwani atakuwa ndiye muuaji mkubwa pia amesamehe wafungwa Zaidi ya 3000.
 
Wakuu,

Ebu naomba wajuzi mkuje tuichambue hotuba ya Rais JPM aliposema yafuatayo:-

1. Kuna mmoja alikua akitumia ndege za TANAPA kwenda kwela starehe (nahisi ni Dr Hamisi)

2. Kuna mmoja aliye andika agenda ya kikao kwenye WhatsApp group.

3. Kuna mwingine alinunua vifaa vya jeshi na kisha akapigia na selfie

4. Jafo ameambiwa ajiangalie sana kwasababu alishindwa kudhibiti fedha...
 
Aliyeshindwa kuapa kashaliwa kichwa
😀😀😀
Masikini familia ilikuja msapoti,

hawa ndio wanaoletewa mikataba feki na wanasaini tu.

Kaliwa kichwa laivu ila naona huyu mmama wa zenji aliyechemka kamtetea eti mapinduzi yamjaa, nafikiri weupe wa ngozi umemtetea. Msukuma na ngozi ya mtume na mzigo huwa hatoki.
 
Naibu waziri wa madini atumbuliwa live.H ajui kusoma hahahahah.Huyu atakuwa hawala wa majaliwa ndo alimpendekeza mwanaume mwenzake.
Hajamtumbua wa fedha ni wa madini.
Wa fedha ni mmama fulani mweupe mashaallah, hapo msukuma anaanzaje kumtumbua huyu?
 
Back
Top Bottom