Ikulu Chamwino: Baada ya kurejea nchini, Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

Mama Mungu akutunze na kukulinda, mipepo michafu iliyoachwa na mwendazake imewavagaa watu. Wameanza kukuchukia bika sababu, hate Safari yako Kenya imewaudhi sana
Wewe inaonyesha hata haujitambui unahitaji nini katika nchi hii, upo upo tu kama nyumbu wa serengeti na kenya. Pole mwache rais wetu atuletee maendeleo bhana
 
Ni kitu gani kinazungumzwa huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Most likely atakuwa anatoa mrejesho wa mazungumzo kati ya raisi wa Kenya kuhusu EPA (Economic Parnership Agreement) ambao kiufupi ni mkataba wa EU (European Union) ulioingiwa na Kenya ili kuruhusu bidhaa kutoka EU ziingie nchini tariff free. Bidhaa hizo ni asilimia 82.6% ya bidhaa zilizokubaliwa kuingia ukanda wa EAC customs union huku asilimia 17.4% ya bidhaa ni zile zisizoruhusiwa kuingia nchini ili kulinda viwanda vya ndani. Kenya hapa ni kama dalali wa EAC.
 
Kuwe na baraza la mpito
Linachaguliwa kutoka wapi mkuu, kwa sababu hata hivyo Tatizo siyo baraza, tatizo ni kule baraza linakopatikana, Dom kule!
Kwa maoni yangu mkuu, kuvunja bunge ni mzigo mkubwa kwa nchi kwa sasa, labda kwa kuwa mazaa ameshashika usukani, apige chini machawa na mchwa wote wa previous regime, alete machawa na mafunza wake, which is kitu kile kile in different color! #☝️People ☝ccm!
 
Bila katiba mpaya na tume huru ya uchaguzi hakuna kitu kitaenda sawa
 
Back
Top Bottom