Ambokile Amanzi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 965
- 1,330
Hahahaaaa... bawacha bwana!Anatakiwa awapige chini aanze wa wapya.. Hawa bado wako na wenge la mwenda zake.
Baraza la wanawake vichaa Tanzania.
Hahahaaaa... bawacha bwana!Anatakiwa awapige chini aanze wa wapya.. Hawa bado wako na wenge la mwenda zake.
Hivyo vitu huwezi kuvipata kwa pamoja,yaani maendeleo na haki havikai nyumba moja🤣🤣🤣Chapa kazi mama la mama tupo nyuma yako.
Tunataka Uhuru, Haki, Demokrasia, Katiba nzuri, Uchumi imara, Neema, Ajira, Mazingira mazuri ya uwekezaji, uwezeshwaji wananchi, Usalama mitaani mwetu, na maendeleo ya nchi kiujumla, usisahau kuwalinda wamachinga na kuwawezesha wakue, Piga vita rushwa na ufisadi, na ulinde rasilimali zetu wageni wasijichotee
Ukiweza hayo tutakwenda pamoja sana
Watu wenye akili timamu wanataka maendeleo ya watu ambayo yataleta maisha bora, hawahitaji CCM wala CDM.Nyumbu wameachana na Lisu sasa hivi wanatimua mbio kuelekea ccm kwa mama Samia.
Waliopo hapo,mabaya na mazuri yatakayotokea ni juu yao.IKULU,Chamwino Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Hili halina mjadala kwa sababu kinara wenu amekufa leo ndio mnajifanya nchi haina ukabila sio?aliyo kuwa akiyafanya wakati mzima hayakuwa ya kikabila kujaza jina kabula na kina mabula kwenyw ofisi za ummaTZ hatuna ukabila...msilete hoja hizi halafu wasukuma wakaona wanabaguliwa...ni mbaya Sana...kumbuka wasukuma wako zaidi ya milioni kumi nchi nzima...wanaweza wakiwa wako under social and political attack wakaamua fate ya uongozi wa nchi hii
Ulifikiri watu wanachukulia siasa kama ligi ya mpira?Nyumbu wameachana na Lisu sasa hivi wanatimua mbio kuelekea ccm kwa mama Samia.
Mama Mungu akutunze na kukulinda, mipepo michafu iliyoachwa na mwendazake imewavagaa watu. Wameanza kukuchukia bika sababu, hate Safari yako Kenya imewaudhi sana
Mie ndalichako nampenda sana, hadi ktk maisha yake binafsi nje ya uongozi. Natamani awe hata rafiki angu wallah.Jafo je?
Weeh!Hebu tushirikishe kiduchu Juu ya maisha yake Binafsi!Mie ndalichako nampenda sana, hadi ktk maisha yake binafsi nje ya uongozi. Natamani awe hata rafiki angu wallah.
Wakati wa Nyerere kulikuwa na gang gani? Na kwa Mwinyi? Kwa Mkapa? Kwa kikwete? Na kwa Samia ni gang lipi?Hili halina mjadala kwa sababu kinara wenu amekufa leo ndio mnajifanya nchi haina ukabila sio?aliyo kuwa akiyafanya wakati mzima hayakuwa ya kikabila kujaza jina kabula na kina mabula kwenyw ofisi za umma
umeniwahi mkuu, nilifikiria kusema kitu kma hicho......Mungu amuongoze kazi zake ziwe zenye tija!Dah..mama anapiga kazi. Yani hata hapumziki.
Hata siyajui kiundani hivyo, ila namaanisha nampenda yeye km yeye.Weeh!Hebu tushirikishe kiduchu Juu ya maisha yake Binafsi!
😂😂😂😂😂. Tusimsingizie mtu. Wanadamu ndivyo tulivyoMama Mungu akutunze na kukulinda, mipepo michafu iliyoachwa na mwendazake imewavagaa watu. Wameanza kukuchukia bika sababu, hate Safari yako Kenya imewaudhi sana
Mkuu ongeza sautiMama Mungu akutunze na kukulinda, mipepo michafu iliyoachwa na mwendazake imewavagaa watu. Wameanza kukuchukia bika sababu, hate Safari yako Kenya imewaudhi sana
Kumbe kuna watu mnawekeza roho zenu kwenye misuk.....Nikimuona tyuuh ndalichako, bas moyo wangu unasuuzika.
Nape NnauyeAlafu awekwe nani? Hebu pendekeza.
Chadema kuweni wananchi muanze kuchagua viongozi siyo kupinga pinga kila kitu.75% ya wajumbe hawakuchaguliwa na wananchi
Mbowe na mnyika.Alafu awekwe nani? Hebu pendekeza.
Atalichagua nani? Na muda nao unakuacha tuu upiteKuwe na baraza la mpito
We ni mpuuzi sanaHakuna baraza hapo ni fake