Ikulu Chamwino: Baada ya kurejea nchini, Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

Chapa kazi mama la mama tupo nyuma yako.

Tunataka Uhuru, Haki, Demokrasia, Katiba nzuri, Uchumi imara, Neema, Ajira, Mazingira mazuri ya uwekezaji, uwezeshwaji wananchi, Usalama mitaani mwetu, na maendeleo ya nchi kiujumla, usisahau kuwalinda wamachinga na kuwawezesha wakue, Piga vita rushwa na ufisadi, na ulinde rasilimali zetu wageni wasijichotee

Ukiweza hayo tutakwenda pamoja sana
 

Mama Mungu akutunze na kukulinda, mipepo michafu iliyoachwa na mwendazake imewavagaa watu. Wameanza kukuchukia bika sababu, hate Safari yako Kenya imewaudhi sana
😂😂 Yani mnajichekesha huku mnalia nyiewatu hovyo sana.

Pole sana kiongozi hebu edit hiyo meseji yako hapo katika maneno" kukuchukia bika sababu" na "hate safari yako"

Kadiri siku zinavyo kwenda hamtaandika chochote humu mtakuwa kimya kwa aibu.
 
Mama Mungu akutunze na kukulinda, mipepo michafu iliyoachwa na mwendazake imewavagaa watu. Wameanza kukuchukia bika sababu, hate Safari yako Kenya imewaudhi sana
Ni kwa vile hakwenda nao. Sukuma gang
 
Back
Top Bottom