Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,821
Wakulu habari zinazochirizika kupitia luninga yangu hapa (Al Jazeera) ni kwamna Ikulu ya Afhagnistan inashambuliwa na gunmen (Taliban) ambao wako kama 20 hivi wakiwa na assault rifles na suicide vests.
NATO wamekuja kusaidia
Jengo moja la Serena hoteli linaungua moto pamoja na majengo mengine pembeni!
NATO wamekuja kusaidia
Jengo moja la Serena hoteli linaungua moto pamoja na majengo mengine pembeni!