zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
Daaah! Aisee huyu jamaa anafikiria kwa kutumia makalio kwa kweli... Tunakazi ya ziada ya ukombozi wa fikra kabla ya nchi kwa ujumla.. Inabidi kuwafundishi watu kama hawa uwezo wa kufikiri!
Ndugu hebu rudia kusoma dhima ya mleta thread, halafu soma majibu yako!
Ila pia hlo tatizo la majibu mepesi yasiyo na urafiki na maswali magumu, ni jadi yenu. Haya ndo uwezo wako ulipoishia.
Mbumbumbu Intelligent
Huna uwezo wa kuelewa ukweli, mmezowea kudanganywa.