Pendael laizer
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 958
- 101
Kilomita zaidi ya 11,000 za lami wakati wa Kikwete tu.
Wanafunzi zaidi ya million 8 wanaosoma wakati wa Kikwete tu.
Vyuo vikuu wanafunzi zaidi ya 130,000 wakati wa Kikwete tu, kabla yake hawafiki hata 50,000.
Barabara za Dar, mkaoneshwa hapo hapo Jangwani ukitazama kulia ji highway la 8 lanes linajengwa, ukitazama kule ya Yanga jibarabara jipya linaenda mpaka Ubungo.
Treni za mjini kuanza mwaka huu huu, Mwakyembe.
Huko kusini mlikokwenda, hamjawahi kuonekana kwa ajili ilikuwa hakuna barabara, sasa hivi lami bado kilomita 20 tu kumalizika.
Jana umewashuka magwanda ya khaki.
Wewe zomba acha ujinga kwani huyo mkoloni tuliyemnyang'anya nchi mwaka 1961 tungemwachia kwa miaka 50 asingefanya hayo yote?na je tulivyopata uhuru kulikuwa hakuna shule,hospital na barabara hata moja?kwanza barabara na madaraja ambayo zipo mpaka sasa na bado ni imara tumeridhi kwa mkoloni mweupe na si huyu mweusi ambaye maana halisi ya chama chenu na CHUKUWA CHAKO MAPEMA {CCM} na kila kiongozi aliopo ndani yake ni lazma aingize nchi katika hasara na adhabu yake anaambiwa na mafsadi wenzake ajiuzulu na hakuna kinachofuata au nipe mfano wakiongozi yeyote wa ccm aliyewai kushtakiwa na kufungwa jela kwa ufsadi tangu nchi ipate uhuru na ni miaka 50 sasa.