Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,628
- 6,669
Kupitia mwaka wa fedha 2016/17 serkali ilitenga fungu la kuweza kuajiri watu zaidi ya 70000
bunge hilo la bajeti lilihizinisha kiasi hicho lakini mpaka sasa ninauhakika kiasi hicho kijatumika hata shilingi
Hivyo najiuliza kiwango hiki kikubwa cha pesa huyu mama kairuki amekipeleka wapi mpaka sasa?
Ukimbukwe pia katika mwaka wa fedha 2015/16 fungu hili la pesa ya ajira lilitengwa na halikutumika mpaka leo
Hivyo hii wizara ndio yenye fungu kubwa la pesa kyluko wizara zote kwani inapesa miaka miwili ya baheti ambayo haijapata kutumika!
Ni rai yangu sasa kwa responble auditory agency zifanye kazi yao
Zianze na wizara hii, kwani pesa inayotengwa haijulikani inatumika wapi
One principle of budgeting is effective ultilization of allocated resource, so hii ministry inatumia wapi hili fungu inalopangiwa miaka miwili mfululizo?