hahahah unamdisturb!Nikimuongelea tu anachoka eeh!
Mwenye mchakato aliisha pumzika r.i.p S.6Duuuh sikumbuki hata ule mchakato uliendaje
Ok mkuu..Mwenye mchakato aliisha pumzika r.i.p S.6
No more mchakato !
Unataka kupimwa mkojo na uitwe mchochezi upone haraka LissuNdugu wa jamvi, najaribu kuwaza kama naota. Miaka kadhaa iliyopita watanzania tulikula nyasi ili mtukufu Rais wetu anunuliwe ndege bora na ya kisasa kabisa. Tangu inunuliwe mbona hatuoni inatumika kama ilivyokusudiwa.
Kama haina matumizi ikulu Kwanini ATC wasiichukue badala ya kuhangaika na hizi bombadia.,??
Iko wapi sasa. Maana kwenye takwimu Haioneshi hata jk aliitumiaje nayeye ndio alikuwa bingwa wa kusafiri. Pili Ile ni ndege kama zingine na imeligharimu taifa mabilioni ya fedha,. Kama haitumiki Kwanini isiuzwe tugawane chenchi, kama ilivyotokea chenchi ya rada???Usalama wa raisi ni muhimu haiwezi kutumika kiraia hakuna nchi duniani inafanya hivo