Iko under carpet ya Wema tena

CLONEY

Senior Member
Apr 3, 2012
104
29
Jamani nimesikia eti Hemed yule msanii wa bongo fleva sasa anatoka na wema sepetu na wamewekeana masharti kadhaa ili heshima ichukue mkondo wake.
 
wema yuko juu, sioni ajabu hajampata wakumpenda kwahiyo anatafuta pengine hemed ndio ubavu wake na hemed isipokua bado wema yupo huru kukamata kichwa
kingine maana hajaolewa bado
0
 
ni kweli hao majamaaa wanatoka,huyo phd alivokuja mwanza juzi kati kama wiki mbili ago, , waliongea kwa simu bw kaka akamwambia he is broke basi bi mdada akamtumia kwa M-PESA laki nne taslim za kitanzania yaan 400,000/= kwa matumiz ya wikiend hiyo, na shuhuda aliona kabisa imeandikwa pokea kiasi hicho cha laki nne kutoka kwa WEMA ABRAHAM SEPETU. ila ndo kijana anamtumia tyuuuuu, anadai hana future nae, sijui kweli au anazingua gengeeee...................:lol::lol::lol::lol::lol::tongue::tongue::tongue:
 
usinambie Wema ndio hadi anamuweka mjini Phd,kaamua kulea kabisa mtoto wa kike uyu..

Ila asikwambie mtu,Wema ana nyota ya ajabu sana yule bidada...ukikaa karibu nae lazima ung'ae sasa subiri kuona hii couple inavyong'aa....

siwezi kusubiri mpambano wa Diamond/kidoti vs Phd/Wema.
 
Jamani nimesikia eti Hemed yule msanii wa bongo fleva sasa anatoka na wema sepetu na wamewekeana masharti kadhaa ili heshima ichukue mkondo wake.

naona kwao SHARING POLICY, Inakuwa aplicable kwa yeyote na muda wowote.
 
usinambie Wema ndio hadi anamuweka mjini Phd,kaamua kulea kabisa mtoto wa kike uyu..

Ila asikwambie mtu,Wema ana nyota ya ajabu sana yule bidada...ukikaa karibu nae lazima ung'ae sasa subiri kuona hii couple inavyong'aa....

siwezi kusubiri mpambano wa Diamond/kidoti vs Phd/Wema.

kikovu na almas kwani bado?? juzi nilikuwa na hus maeneo ya bamaga na almas na aunt ezekiel walikuwa wanatoka ile hotel ya 'kebbys' pale bamaga, full makiss na kushikana kana kwamba wana uhusiano wa muda mrefu. nilichoka sana. so i doubt kama kikovu na diamond bado watakuwepo wakati vs itakapoanza.
 
hahaha, haya bhana yetu macho kwa hizi epsiodes za bureee...!!!! Unaweza tengeneza kipindi cha reality show cha hawa watu , watazamaji wakajaa kedekede... ukauza matangazo kedekede....!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom