Ikiwa Wabunge au wananchi hawana Imani na Raisi Sheria inasemaje?

Papaeliopaulos

Senior Member
Feb 19, 2011
149
47
Jana wakati nasikiliza bunge nimejifunza jambo jipya. Kumbe wabunge hawana mamlaka ya kumwondoa waziri au katibu mkuu wa wizara yeyote, ila wanaweza tu kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu na akaondolewa madarakani kwa matokeo ya kura hiyo.

Sasa naomba kwa wadau wa sheria wanisaidie, ikiwa bunge halina imani na raisi utartibu unakuwaje? na kama raia ndio hawana imani na raisi je?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom