Uchaguzi 2020 Ikiwa uzinduzi wa kampeni za CHADEMA ulikuwa ule, basi muacheni Lowassa aitwe Lowassa

LISSU KAMA LISSU HANA HELA UNADHANI NANI ATAUMIZA MGONGO WAKE KUMPANGIA KILA KITU WAKATI WANAJUA HUYU MTUNGA SHERIA NI KIMEO HATA AKIIPATA IKULU
 
AF6C6352-6662-4D3B-B857-FBF8AA0D375B.jpeg
 
Acha kukariri,Sasa hivi watu wanafatilia michakato mtandanoni,ni ccm imebaki kusafirisha watu toka mbali kujaza uwanja.
Kama mnajiamini achilieni tume iwe huru muone.
Umejifariji Vizuri hahahahhaa Ebu jifunze na Kampeni za Ulaya na Marekani kwenys Mitandao zaid ya Huku kama Wanakuwaga wachache Uwanjani
 
Mimi nilishangaa saana.

Jukwaa kama la Kigodoro cha Msaga sumu... organisation pale jukwaani sifuri.

Mtiririko wa hotuba haueleweki.

Upinzani kama mnahitaji kura zetu jipangeni.

Msitangulize kulialia... hakuna anayependa mtu wa kulialia.
 
Nimejaribu sana kuperuzi you tube nione sera za Mgombea wa Chandema Mh Tundu Lissu alizo toa kwenye uwanja wa Zakhiem Mbagala bila mafanikio, pia picha za mkutano hazikuwa clear, ukija kwenye sauti ya vyombo hazikuwa zimetulia, uchaguzi wa mwaka huu Chandema mmmmmmh.
 
Kwa upinzani huu, ccm itatawala kwa miongo mingi tu huko mbele
 
Mimi nilishangaa saana.

Jukwaa kama la Kigodoro cha Msaga sumu... organisation pale jukwaani sifuri.

Mtiririko wa hotuba haueleweki.

Upinzani kama mnahitaji kura zetu jipangeni.

Msitangulize kulialia... hakuna anayependa mtu wa kulialia.
Hakuna watu wanaopewa ushauri humu kama hawa, ila vichwa ngumu.
 
Acha kukariri,Sasa hivi watu wanafatilia michakato mtandanoni,ni ccm imebaki kusafirisha watu toka mbali kujaza uwanja.
Kama mnajiamini achilieni tume iwe huru muone.
Nanyinyi safirisheni watu. Kwani mmekatazwa?
 
Tofautisha kufuata show za wasanii kwa kusombwa na malori na kwenda kwa mapenzi yao
 
Tofautisha kufuata show za wasanii kwa kusombwa na malori na kwenda kwa mapenzi yao
QUOTE="Kejuu, post: 36514109, member: 596211"]
Huwa wanakuwa fooled by propaganda za mtandaoni, nakujiaminisha wanakubalika, but in really sense hakuna kitu.
[/QUOTE]

Back
Top Bottom