Ikiwa urembo na rangi huchangia muonekano mzuri je kuna haja ya kuongeza chochote ktk mwili?

unakutana na demu rangi ya udongo, figure matata iliyoumbwa mchana kweupeeee..! aisee hapo macho yatanitoka na udenda juu.
 
Mi siwapendi wadada wenye urembo wa kununua. Sijui kwanini, but i want a woman who is just beautiful on her natural body and hairs
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom