Ikiwa unataka kufurahia mapenzi nenda Mtwara au Lindi.

Jamani,makabila ya mikoa hiyo miwili ni:WAYAO,WAMAKUA,WAMWERA,WAMARABA.
Umewasahau WAMAKONDE.......Pia nilianzia kazi Mtwara, Slogan ya kule ni "UMEPEWA BURE,TOA BURE" Na endapo utamtongoza msichana akakataa ukienda kumshitaki kwa Balozi lamza aitwe na aulizwe kwanini kakataa wakati hajagharimikia chochote.
 
Tatizo mnaokota wanawake Baa na vilabuni, wanawake wa Mtwara wengi wana
heshima zao ni vigumu kuwapata kwa sababu si jambo la kawaida sana kwa mwanamke
ambaye hajawahi kuolewa kupanga chumba. Pengine unawaona wachafu kwa sababu
sio kama ulivyozowea Dar mara zote viungo nyeti viko nje, wengi wao huwa na stara
halafu hukaa majumbani.

Hayo mengine ni kashfa tu za wadau. Ukitaka kufahamu jinsi walivyolivyo mtazame
Hawa Ghasia na Salma Kikwete. Hawa ni kiwakilishi kizuri cha Mtwara wakati Salma ni
kiwakilishi cha Lindi. Hebu zungumzeni vitu ambavyo mmevifanyia utafiti. Maana sasa
hivi mtaanza kuwasifia wanawake wa kimasai kuwa ni wasafi.
 
nimegonga makabila kibao....wangoni, wadigo, wachaga, wapare, nyamwezi,.....n.k. NAOA MTWARA!!!!!!! HUYU BINTI KABOKO YAOOOOO
 
nafunga mjadala kama ifuatavyo;
1. mimi ninaishi mtwara, huku wanawake hufundwa na kuenda unyago ambapo hufundishwa jinsi ya kumjali mme na familia/watoto. unyago si ngono tu(nimepeleleza). sasa, ni kweli mwanamke wa mtwara/lindi kumfurahisha mme kwake anaona ni wajibu wake.na hufurahia kumfurahisha mme iwe kingono au romance whatever so, ni kweli kiasi fulani wanawake wa huku wanajuhudi sana za kimapenzi na ndomana wanaonekana wanajua mapenzi
2. kujua kutiana(maana mapenzi ni zaidi ya kitandani), hakumaanishi hawana kasoro.katika context ya mapenzi nao wana madhaifu mfano si wavumilivu katika ndoa.pia familia nyingi hazitilii mkazo suala la elimu.
conclusively, kila jamii ina strengths na weaknesses zake katika kila nyanja.
ila warangi wa singida nawakumbuka sana maana nilishalala na mrangi mmoja alinijali sana dah, narudi singida mie.
 
Point of order: Mjadala haujafungwa!

Warangi ni wa kutoka wilaya ya KONDOA, DODOMA na Sio Singida Mkuu! Mjini Dodoma wamejaa tele.....wanawaka sio mchezo....
Unless hao wa Singida ni tofauti na wale wenyewe wa Kondoa, na kwa maana hiyo, hao sio Warangi Mkuu, wasingida wamekuchezea!
 
duu siku hizi hata kabila lile linalojulikana zembe kwenye mahaba limeibuka na kuwa mstari wa mbele, mahaba ni kujifunza tu hamna cha kabila wala nn

Hii ni kweli kabisa, siku hizi mambo mengi kuhusu makabila fulani yako tofauti kabisa!!! You will never know na huwezi nkusema kirahisi!
 
hhaha. hawana maana. ni wachafu, wazinzi sana na huwa wanaweka vijiti vya dawa za kienyeji kabla mwanaume hajawaingilia ili mwanaume akiwaduuu tu, ataona utamu tofauti na wengine na ananasa, aina fulani ya libwata...hii ni kwa wanawake walio wengi wa ukanda wa pwani.....mawazo yao ni ngono tu muda wote, akili zao ni kama zimenyofolewa kwasababu hawana akili ya maisha, wanawaza kula kulala na kufanya ngono tu.

amini usiamini, ukiwa na gunia la mchele, ukampa pesa ya kununulia nyama ya kwenye ubwabwa, ukamnunulia mkeka wa kutandika alale mchana, na tv, basi unaweza kumtongoza leoleo na kumwoa na kumleta home siku hiyohiyo kwasababu katika maisha yao ndio ndoto yao kuu. mchana apike ubwabwa vizuriiii akiwaringishia wenzie/waswahili wenzie, akila anywe maji afu apumzikeeee kwenye mkeka akipiga umbeya.

ukirudi jioni anakuwa amepumzika vya kutosha na kwasababu roho yake haina frustration za kazini na uchovu basi anakuwa yuko tayari sana kwa mapenzi na anafanya kwa kujituma sana kwasababu kazi yake ni hiyo tu...

hawana msaada, ukifa au ukiugua, familia yote imeugua, ukipata ulemavu au pesa ikiisha anakuhama ndani ya mwezi huohuo kwenda kuolewa kwingine au atatoka nje ya ndoa hadi ukome....wana pepo la ngono
.

all bolded and red! Duuuuuuuuu! kwenye moja ya makabila yaliyotajwa natokea huko na ndiyo kabila yangu. Nimebaki mdomo wazi kama mtu anayekata roho. Mkuu haya ni zaidi ya matusi, duuuuuu!

Kweli akutukanae hakuchagulii tusi. Na hapo wanaume hawajashutumiwa sijui itakuwaje, Yesu wangu! Sijawahi kusikia hayo matusi, nakiri wazi.
 
KUFURAHIA MAPENZI AU NGONO?
Unajua tofauti yake?
Wako bize na ngono ndio maana hata shule hawaendi.

kwa nini wanawake huwa hampendi kundi fulani la wanawake wenzenu linaposifiwa kwa jambo hasa ktk mapenzi au ufanyaji ngono? Huwa mnapenda mtu anapowasifia wanawake basi aongelee wanawake kwa jumla tu, lakini inapokuja mtu anasifia kabila fulani au wanawake wa eneo fulani...........majibu ni yale yale........oooooh hawaendi shule ndo maana malaya na mengine mengi. Mi najua hata waarabu wengi wanawake wao hawana shule ila hawaambiwi kuwa ni malaya...........

Pengine nielimishwe uhusiano wa shule na ngono, maana hakuna watu wanaofanya ngono tena za kishenzi kama wanafunzi........hebu chunguza ngono zinazoendelea vyuoni ndo utajua..........
 
Mkuu, ngono za chuoni ndio zikoje hizo?
Sisi tumepita huko almost 20 years ago!
 
hhaha. hawana maana. ni wachafu, wazinzi sana na huwa wanaweka vijiti vya dawa za kienyeji kabla mwanaume hajawaingilia ili mwanaume akiwaduuu tu, ataona utamu tofauti na wengine na ananasa, aina fulani ya libwata...hii ni kwa wanawake walio wengi wa ukanda wa pwani.....mawazo yao ni ngono tu muda wote, akili zao ni kama zimenyofolewa kwasababu hawana akili ya maisha, wanawaza kula kulala na kufanya ngono tu.

amini usiamini, ukiwa na gunia la mchele, ukampa pesa ya kununulia nyama ya kwenye ubwabwa, ukamnunulia mkeka wa kutandika alale mchana, na tv, basi unaweza kumtongoza leoleo na kumwoa na kumleta home siku hiyohiyo kwasababu katika maisha yao ndio ndoto yao kuu. mchana apike ubwabwa vizuriiii akiwaringishia wenzie/waswahili wenzie, akila anywe maji afu apumzikeeee kwenye mkeka akipiga umbeya.

ukirudi jioni anakuwa amepumzika vya kutosha na kwasababu roho yake haina frustration za kazini na uchovu basi anakuwa yuko tayari sana kwa mapenzi na anafanya kwa kujituma sana kwasababu kazi yake ni hiyo tu...

hawana msaada, ukifa au ukiugua, familia yote imeugua, ukipata ulemavu au pesa ikiisha anakuhama ndani ya mwezi huohuo kwenda kuolewa kwingine au atatoka nje ya ndoa hadi ukome....wana pepo la ngono.

eee eeehhh... Nilipata kazi huko nikaomba ushaur kwa binadamu wakanishauri nisikanyage... Kwamba ndo mie na ukoo wangu tusingeonana tena!
 
Nimesoma tena hii thread nikacheka sana.
Ina maana wanaume sehemu nyingine zote Tz hamfurahii mapenzi hadi mwende huko?
Ina maana kwenye uhai wako usipofika huko utakuwa hujafurahia mapenzi?
Makubwa sana haya!

Wakaka wa JF mpo?
 
hhaha. hawana maana. ni wachafu, wazinzi sana na huwa wanaweka vijiti vya dawa za kienyeji kabla mwanaume hajawaingilia ili mwanaume akiwaduuu tu, ataona utamu tofauti na wengine na ananasa, aina fulani ya libwata...hii ni kwa wanawake walio wengi wa ukanda wa pwani.....mawazo yao ni ngono tu muda wote, akili zao ni kama zimenyofolewa kwasababu hawana akili ya maisha, wanawaza kula kulala na kufanya ngono tu.

amini usiamini, ukiwa na gunia la mchele, ukampa pesa ya kununulia nyama ya kwenye ubwabwa, ukamnunulia mkeka wa kutandika alale mchana, na tv, basi unaweza kumtongoza leoleo na kumwoa na kumleta home siku hiyohiyo kwasababu katika maisha yao ndio ndoto yao kuu. mchana apike ubwabwa vizuriiii akiwaringishia wenzie/waswahili wenzie, akila anywe maji afu apumzikeeee kwenye mkeka akipiga umbeya.

ukirudi jioni anakuwa amepumzika vya kutosha na kwasababu roho yake haina frustration za kazini na uchovu basi anakuwa yuko tayari sana kwa mapenzi na anafanya kwa kujituma sana kwasababu kazi yake ni hiyo tu...

hawana msaada, ukifa au ukiugua, familia yote imeugua, ukipata ulemavu au pesa ikiisha anakuhama ndani ya mwezi huohuo kwenda kuolewa kwingine au atatoka nje ya ndoa hadi ukome....wana pepo la ngono.

eee eeehhh... Nilipata kazi huko nikaomba ushaur kwa binadamu wakanishauri nisikanyage... Kwamba ndo mie na ukoo wangu tusingeonana tena!
 
nafunga mjadala kama ifuatavyo;
1. mimi ninaishi mtwara, huku wanawake hufundwa na kuenda unyago ambapo hufundishwa jinsi ya kumjali mme na familia/watoto. unyago si ngono tu(nimepeleleza). sasa, ni kweli mwanamke wa mtwara/lindi kumfurahisha mme kwake anaona ni wajibu wake.na hufurahia kumfurahisha mme iwe kingono au romance whatever so, ni kweli kiasi fulani wanawake wa huku wanajuhudi sana za kimapenzi na ndomana wanaonekana wanajua mapenzi
2. kujua kutiana(maana mapenzi ni zaidi ya kitandani), hakumaanishi hawana kasoro.katika context ya mapenzi nao wana madhaifu mfano si wavumilivu katika ndoa.pia familia nyingi hazitilii mkazo suala la elimu.
conclusively, kila jamii ina strengths na weaknesses zake katika kila nyanja.
ila warangi wa singida nawakumbuka sana maana nilishalala na mrangi mmoja alinijali sana dah, narudi singida mie.
warangi ni kondoa.
 
nimegonga makabila kibao....wangoni, wadigo, wachaga, wapare, nyamwezi,.....n.k. NAOA MTWARA!!!!!!! HUYU BINTI KABOKO YAOOOOO

Duh! Kwa hiyo ngono ndio kigezo kikuu cha wewe kuoa?!

Hakika ndio maana ndoa nyingi siku hizi hazidumu!
 
Back
Top Bottom